Luiz Philipe: “Kuichezea Lazio ni Ndoto Kwangu”
Football

Mchezaji wa Lazio mwenye uraia wa Brazili na Italia, Luiz Filipe anasema kuchezea klabu hiyo ni  “Ndoto”.  Philipe mwenye umri wa miaka 21 aliingia Lazio mwaka 2016 kisha akaondoka kwenda …

Soma zaidi
Nadal Aendeleza Ushindi US Open
Football

Bingwa mtetezi kwenye michuano ya tenisi ya US Open Rafael Nadal, ameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa ushindi dhidi ya Dominic Thiem. Mechi yao inadaiwa kuwa ndefu zaidi kwa …

Soma zaidi
Messi Ametaja Klabu 2 Bora Duniani
Football

Staa wa soka kutoka Barcelona, ambaye ametemwa katika kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa FIFA Lionel Messi amezitaja klabu anazoamini ndio kubwa zaidi duniani. Mesi amezitaja timu yake ya Barcelona na …

Soma zaidi
Henderson: Anadai Wataongozwa na Mzimu wa Croatia!
Football

Kiungo wa Liverpool Jordan Henderson, mwenye miaka 28 ambaye alikuwa mmoja wa wachezaji muhimu kwenye Kombe la Dunia katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza anasema kichapo walichokipata dhidi …

Soma zaidi
Gaucho Anamkubali Nani: Lionel Messi au Cr7?
Football

Kwenye mahojiano ambayo staa wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldinho Gaucho ameyafanya na jarida la SPORTS la huko Hispania ameongelea mambo mengi kuhusu …

Soma zaidi
Gemu za Hispania na Uswis Zinampita Raheem Sterling
Football

Raheem Sterling ambaye ni mchezaji kiungo cha mbele wa klabu ya Manchester City amejitoa kwenye kikosi cha Uingereza kwenye mechi dhidi ya Hispania na Uswis zitakazoanza karibuni! Sababu ni nini? …

Soma zaidi
Mshangao wa Messi Kuhusiana na Ronaldo!
Football

Msakata kabumbu mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona ambaye ana umri wa miaka 31 raia wa Argentina, Lionel Messi amesema kwamba yeye alishangazwa sana na maamuzi ya mshambuliaji mwenye …

Soma zaidi
Rodger Federer Atupwa! Djokovick Anabamba!
US Open

Kila mchezo una maajabu yake! Haikutarajiwa! Ni kwamba mshindi mara 20 wa Grand Slam kutoka Uswisi, Rodger Federer amejikuta yupo nje ya michuano ya Us Open! Hii ni mara baada …

Soma zaidi
Diego Costa Amejitoa Kwenye Kikosi Cha Taifa
Football

Straika wa Uhispania, Diego Costa amejitoa katika kikosi cha taifa cha Hispania kinachoenda kucheza katika Ligi ya Mataifa -Uefa dhidi ya Croatia na Uingereza kwa sababu zake binafsi. Taarifa Kutoka …

Soma zaidi
Palegri Nje ya Kikosi Cha Taifa Italia
Football

Straika wa Monaco Muitalia Pietro Pellegri amechomolewa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa ya Italia katika mechi mbili zijazo. Pietro Pellegri alipata wito katika kikosi cha timu hiyo kwa …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.