Imedaiwa na Telegraph kwamba klabu ya soka ya Tottenham Hotspurs inamfuatilia mchezaji beki wa klabu pinzani ya Leicester City, Ben Chilwell.
Beki huyu mwenye umri wa iaka 21 kwa sasa ameitwa kwenye kikosi cha Uingereza na ambaye amepangwa kwa ofa ya mchezaji wa Ajax, Frenkie de Jong kutoka Uholanzi.


Furahav
Yuko vizuri kijana.
isha
Namkubali sana
Issa
Good news