Liverpool Watemana na Adrien Rabiot!

Liverpool wameamua kujitoa katika kumfukuzia kiungo Mfaransa Adrien Rabiot na kuwaacha Juventus, Milan na Barcelona wakimfukuzia staa huyo kutoka Paris-Saint Germain.

Staa huyu mfaranca, mwenye miaka 23 amechomoa kusaini mkataba mpya huku makataba wake ukiwa unaisha mwezi Juni 2019 na baada ya hapo atakuwa huru kujiunga na klabu yeyote. Kama PSG watahitaji kutompoteza bure staa huyu watalazimika kumuuza mapema mwezi Januari. Kadri mkataba wake unavyokaribia mwisho ndivyo thamani yake inavyozidi kupungua hivyo bado hawatakuwa na dau kubwa sana la kumuuza mchezaji huyu.

Juventus, Milan na Barcelona bado wanasisitiza nia zao za kumnasa mkali huyu, kwa msimu huu Rabiot amefunga goli moja na kutoa pasi 5 za usaidizi akiwa na PSG.

Liverpool Watemana na Adrien Rabiot!
Adrien Rabiot amefunga goli moja msimu huu huku akitoa pasi 5 za usaidizi

 

 

 

4 Komentara

    Makala nzuri

    Jibu

    Hatimae Juventus alichukua mwali#meridianbettz

    Jibu

    Duh kila la kheri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.