Nacho Kuendelea Kukipiga Ndani ya Madrid
La Liga

Beki wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Hispania Nacho Fernandez ataendelea kukipiga ndani ya klabu hiyo baada ya kukubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia ndani ya …

Soma zaidi
Inter Wanajiandaa kwa Msimu Ujao Baada ya Kupoteza Fainali ya Ligi ya Mabingwa
Serie A

Simone Inzaghi atapumzika kwa siku chache kabla ya kukutana na wasimamizi wa Inter wiki ijayo ili kutathmini hali ya sasa na mipango yao ya baadaye.   Inter walifanya mchezo mzuri …

Soma zaidi
Guardiola: Uefa ni Michuano Migumu Kushinda
Champions League

Kocha wa klabu ya Manchester City raia wa kimataifa wa Hispania Pep Guardiola amesema kushinda taji la ulaya ni ngumu zaidi kuliko michuano mingine. Guardiola aliyasema hayo wakati anazungumza na …

Soma zaidi
Guardiola Hawezi Kuficha Kuwa Yeye ni Shabiki Mkubwa wa Kipa wa Inter na Anayelengwa na Chelsea Onana
Daily News

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola hakujificha kuwa shabiki mkubwa wa kipa wa Inter André Onana kabla na baada ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Nerazzurri hapo jana. …

Soma zaidi
Olympique Marseille Inazingatia Kumuajiri Grosso
Daily News

Gianluca Di Marzio inaripoti kuwa, Olympique Marseille wanatafuta mbadala wa Igor Tudor na wameanza kufikiria kumnunua kocha wa Frosinone Fabio Grosso.   Tudor alichukua nafasi ya Jorge Sampaoli kwenye kikosi …

Soma zaidi
Gwiji wa Man Utd Adai De Gea Anafaa Kuwa Chaguo No.1
Daily News

Gwiji wa Manchester United Dwight Yorke alidai kwamba mlinda mlango David de Gea anafaa kuendelea kuwa chaguo nambari 1 wa klabu hiyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa …

Soma zaidi
Sancho Afanya Mazungumzo na Ten Hag Kusalia Utd
Daily News

Jadon Sancho ameripotiwa kuwa na mazungumzo ya kina na kocha Erik ten Hag kuhusu mustakabali wake. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara. Nyota …

Soma zaidi
Kwanini Milan Wanajiamini Kuwa Wanaweza Kuwashinda PSG kwa Thuram?
Daily News

Milan wanafanya bidii kumshawishi Marcus Thuram ajiunge na klabu hiyo kwa uhamisho wa bure lakini wanahitaji kupambana na ushindani mkubwa kutoka kwa Paris Saint-Germain.   Mshambuliaji huyo wa Ufaransa mwenye …

Soma zaidi
Guerreiro Kusaini Bayern Munich
Bundesliga

Beki wa zamani wa klabu ya Borussia Dortmund raia wa kimataifa wa Ureno Raphael Guerreiro anatarajia kusaini mkataba na klabu ya Fc Bayern Munich kama mchezaji huru akitokea Dortmund. Beki …

Soma zaidi
Ferdinand: “Sote Tunakubali Pep ni Mmoja wa Makocha Wakubwa Kabisa”
Daily News

Beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand anaamini Pep Guardiola hakuhitaji kukiongoza kikosi chake kutwaa mataji matatu ya kihistoria ili kujiweka kwenye kinyang’anyiro cha kuwania meneja “mkubwa zaidi” wa …

Soma zaidi
1 2 3 476 477 478 479 480 481 482 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.