Mourinho Hana Presha ya Kazi
KOCHA mwenye mbwembwe nyingi kwenye soka la wanawake Edna Lema (Mourinho) amesema kuwa yeye hana presha ya kupata kazi kwa sasa kwa kuwa ana amini kupitia taaluma yake. Pata odds …
Mbappe Kuuzwa Dirisha Hili
Winga wa kimataifa wa Ufaransa anayekipiga klabu ya PSG ya nchini humo Kylian Mbappe imearifiwa kua yuko mbioni kuuzwa katika dirisha hili la majira ya joto. Mbappe ambaye alisaini mkataba …
Serengeti Girls Kuvaana na Zambia Kufuzu Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Wasichana ya U-17 Serengeti Girls Itacheza na Zambia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwakani. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi …
Tanzania Kuvaana na Djibout Kufuzu Kombe la Dunia
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake wa (U-20) Tanzanite Queens itacheza na Timu ya Taifa ya Djibouti kwenye mchezo wa duru ya kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia litalofanyika …
Kocha Simba Queens asepa mazima
Shirikisho la Soka Uganda FUFA lipo kwenye mazungumzo ya kutaka kumpa kazi Kocha wa Simba Queens Charles Ayiekho kuinoa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Uganda (Crested Cranes). Tembelea duka …
Tuzo za Azam Sports Federation Cup | Simba&Yanga Zang’ara
Usikuwa tuzo za TFF ulitamatika Juni 12, 2023 huko mkoani Tanga, huku klabu ya Simba na Yanga zikitambiana kwenye tuzo hizo. Macho na masikio ya wengi yalikuwa yakisubiri kuona tuzo …
SimbaWaikimbiza Yanga Kinoma
MASTAA wa Simba wamewafunika watani zao wa jadi Yanga kwenye idadi ya hat trick ambazo wamefunga ndani ya za Ligi Kuu Bara 2022/23. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako …
Simba Wamchukua Kocha wa Yanga
INAELEZWA kuwa, uongozi wa Simba umefikia makubaliano ya kumrudisha aliyekuwa kocha wa makipa wa timu hiyo, Mbrazil, Milton Nienov ambaye kwa sasa yupo Yanga akimaliza mkataba wake. Tembelea duka la …
Kvaratskhelia Ameteuliwa Kuwa Mchezaji Bora Chipukizi wa Ligi ya Mabingwa
Mshambuliaji wa Napoli Khvicha Kvaratskhelia ameteuliwa na UEFA kama Mchezaji Chipukizi wa Ligi ya Mabingwa kwa Msimu wa 2022-23. Mchezaji huyo raia wa Georgia ameanza soka la Italia …
Mshambuliaji wa Juventus Vlahovic Aumia na Kushindwa Kuitumikia Serbia
Matatizo yanaendelea msimu huu kwa mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic, ambaye amelazimika kujiondoa katika majukumu ya kimataifa akiwa na Serbia. Mshambuliaji huyo amekuwa na shida msimu wote kutokana na …

