Tanzania Kuvaana na Djibout Kufuzu Kombe la Dunia

TANZANIA

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake wa (U-20) Tanzanite Queens itacheza na Timu ya Taifa ya Djibouti kwenye mchezo wa duru ya kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia litalofanyika Costa Rica, mwakani 2024. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Timu hiyo ambayo ilishindwa kufuzu kwenye mbio za mwaka jana. Wakivuka hapo watakutana na mshindi kati ya Mauritius dhidi ya mshindi kwenye mechi kati ya CHAD au Nigeria.

Kwa maana CHAD watacheza na Nigeria kwanza kwenye mechi ya play Off, kisha baada ya hapo mshindi wa jumla atavaana na Mauritius. Atakayepita hapo atakuwa amekata tiketi ya kucheza na Tanzania. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kila timu itapita kwenye hatua tano, hatua ya kwanza ni kati ya Agosti 5-7. Hatua ya pili itakuwa kati ya Septemba 23 na 25 na Oktoba 7-9. Hatua ya pili ni Septemba 23-25 na Oktoba 7-9, hatua ya tatu itapigwa kati ya Desemba 2 na 4 au Desemba 16 na 18.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Hatua ya nne itachezwa mwakani, Januari 21-23 na Februari 4,6 na hatua ya tano itapigwa Machi 12-13 na Machi 26-27. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe