KOCHA mwenye mbwembwe nyingi kwenye soka la wanawake Edna Lema (Mourinho) amesema kuwa yeye hana presha ya kupata kazi kwa sasa kwa kuwa ana amini kupitia taaluma yake. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Mourinho ambaye aliachana na Yanga Princess mwanzoni mwa msimu wa ligi iliyopita alisema, kama kocha kuna wakati ukosa kazi na hiyo imemkuta yeye na hana wasiwasi. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Mourinho alisema kuwa hata kwenye timu za taifa ambazo uwa anasimama kama kocha msaidizi hayupo tena: “Sipo kwenye timu yoyote kwa sasa.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
“Lakini sina presha na maisha yangu yanasonga vizuri tu. Kuna wakati lazima ukubali kila kitu na kusubiri wakati sahihi ufike. Kocha kutokuwa na kazi ni kawaida sana.”
Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.


