Dirisha Lafunguliwa Uingereza
Football

Dirisha la usajili limefunguliwa rasmi nchini Uingereza rasmi leo kwajili ya timu mbalimbali kufanya usajili katika dirisha hili kubwa mpaka pale ambapo litafungwa. Timu mbalimbali za Uingereza zitaruhusiwa kufanya usajili …

Soma zaidi
Bellingham Kutambulishwa Kesho
La Liga

Kiungo mpya wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Uingereza Jude Bellingham ambaye alikua anakipiga klabu ya Borussia Dortmund ya nchini Ujerumani atatambulishwa kesho mbele ya mashabiki wa …

Soma zaidi
Koulibaly Out, Onana Ndani ya Chelsea
Daily News

Habari za ndani kabisa ni zinaeleza kwamba, Chelsea wako tayari kumtoa beki Kalidou Koulibaly kwenda Inter Milan kama sehemu ya harakati zao za kutaka kumsajili mlinda mlango wa timu hiyo …

Soma zaidi
Eberechi Eze Majeraha Yamfanya Atambulike Timu ya Taifa Uingereza
Daily News

Eberechi Eze anaamini kuwa jinamizi lake la majeraha miaka miwili iliyopita lilimpa jukwaa la kutambuliwa England. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.   Kiungo huyo wa …

Soma zaidi
Marcus Rashford Hajali Wanaokosoa Kipaji Chake
Daily News

Marcus Rashford alisema amejitolea kikamilifu kwenye timu yake ya taifa ya Uingereza na hajali ikiwa watazamaji watamkosoa au kutilia shaka kujitolea kwake kwa timu ya taifa. Pata odds kubwa kutoka …

Soma zaidi
Kylian Mbappe Azungumzia Sakata la Messi Kuondoka PSG
Daily News

Kylian Mbappe ameibuka tena akizungumzia mapungufu ya klabu yake ya PSG, kumruhusu nyota wa dunia Lionel Messi kuondoka katika hali ya kushangaza. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa …

Soma zaidi
Grealish Azua Gumzo
Daily News

Winga wa klabu ya Manchester City na timuu ya taifa ya Uingereza Jack Grealish amezua gumzo kubwa katika sherehe za ubingwa wa mskombe matatu ambao wameipata klabu yake. Jack Grealish …

Soma zaidi
Mbappe Kigeugeu
Ligue 1

Mshambuliaji wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe akanusha suala lake la kutaka kuondoka ndani ya klabu hiyo na kujiunga na wababe wa soka nchini …

Soma zaidi
Lukaku Avunja Ukimya Baada ya Fainali ya UCL
Serie A

Mshambuliaji wa Inter Romelu Lukaku anashiriki chapisho lake la kwanza kwenye Instagram tangu Fainali ya Ligi ya Mabingwa na inaonekana ameamua kuwa anataka kubaki na Nerazzurri: ‘Tutapambana ili tufikie wakati …

Soma zaidi
Sheikh Jassim Anasubiri Kusikia Iwapo Ofa ya Mwisho ya Kuinunua Man Utd Itafanikiwa
Daily News

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na Mqatar huyo, Sheikh Jassim bado anasubiri kusikia iwapo ofa yake ya tano na ya mwisho kwa Manchester United imefanikiwa.   Ripoti za hivi …

Soma zaidi
1 2 3 473 474 475 476 477 478 479 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.