Manchester United Waonyesha Dalili za Kumtaka Zielinski wa Napoli
Manchester United wameonyesha nia ya kutaka kumnunua kiungo wa Napoli Piotr Zielinski endapo watashindwa kupata chaguo lao la kwanza kwa mujibu wa ripoti ya hivi punde ya Manchester Evening News. …
Yanga Suala la Nabi Mbona Hamueleweki?
Kuna Taarifa kutoka Yanga inaeleza kuwa Uongozi wa klabu hiyo umeachana na Kocha mkuu wa timu hiyo Mtunisia Nasradinne Nabi, baada ya kumfuata na kumshawishi kocha huyo kuongeza mkataba mpya. …
Conte Arudi Ambapo Mambo Yote Yalianza
Kocha wa zamani wa Juventus na Inter Antonio Conte alirejea Arezzo jana na kuchapisha baadhi ya picha kutoka uwanja wa Amaranto: ‘Yote yalianzia hapa.’ Mtaalamu huyo wa Kiitaliano alipokea …
Chelsea Waipiga Chini Ofa ya United kwa Mount
Klabu ya Chelsea imeipiga chini ofa ya klabu ya Manchester United ya euro milioni 40 kwa kiungo wake Mason Mount ikielezwa klabu hiyo imeshikilia msimamo wa euro milioni 80. Chelsea …
Rashford Achukizwa na Ubingwa wa City
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Marcus Rashford amekiri kutokufurahishwa na ubingwa wa klabu ya Manchester City ambao ni majirani zao katika jiji la …
Arsenal Yamgeukia Havertz
Klabu ya Arsenal inafanya mazungumzo na mchezaji wa Chelsea raia wa kimataifa wa Ujerumani Kai Havertz kwajili ya kumsajili katika dirisha hili kubwa. Arsenal wanataka kuwasilisha ofa kwa klabu ya …
Nabi Kutimka Jangwani Muda Wowote
Kocha wa klabu ya Yanga Nassredine Nabi taarifa zinaeleza kua kocha huyo raia wa kimataifa wa Tunisia atatimka ndani ya klabu hiyo muda wowote kuanzia sasa. Kocha Nabi inaelezwa ameshawaeleza …
Simba Yafanya Umafia Usajili wa Onana
INAELEZWA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Rayon Sports, Leandre Essomba Willy Onana ambaye raia wa Cameroon, amekuja ar es Salaam kwa siri kwa ajili ya kufanikisha dili la kujiunga na Simba. …
James Milner Ajiunga Brighton
Kiungo wa zamani wa vilabu vya vilabu vya Aston Villa na Manchester City ambaye alikua anakipiga ndani ya klabu ya Liverpool James Milner amejiunga na klabu ya Brighton kwa uhamisho …
Yanga Watangaza Vita Mpya ya Usajili
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amepiga mkwara mzito kuhusu masuala ya usajili akiweka wazi kuwa jina lolote atakalopewa atafanyia kazi kuhakikisha anamleta mchezaji huyo.Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi …

