Team Samatta, Team Kiba wanawake kinapigwa tena
SOKA LA BONGO

MSIMU mwingine wa mchezo wa hisani wa Nifuate ambao upo chini ya Ali Kiba na Mbwana Samatta utafanyika Jumanne ijayo Azam Complex Chamazi na kwa msimu wa pili kutakuwa na …

Soma zaidi
The Tigers Queens bado inaoza kambini
SOKA LA BONGO

SIYO Yanga Princess pekee ambao mpaka sasa wanaozea kambini licha ya kuelekea mwezi wa pili sasa tangu ligi yao ilipomalizika, bali hata The Tigers Queens wapo Arusha na hawajui lini …

Soma zaidi
Azam FC kuinunua Baobab Queens
SOKA LA BONGO

TIMU ya Azam FC inasemekana kuwa wameichukuwa timu ya Baobab Queens kwa mwaka mmoja ili kutimiza agizo la Shirikisho la Soka Africa (CAF) la kutaka timu zote zitazoshiriki mashindano yao …

Soma zaidi
Frattesi Achagua Inter Dhidi ya Roma na Juventus
Daily News

La Gazzetta dello Sport imeripoti kuwa, Davide Frattesi ameamua kukubali kuhamia Inter na klabu hiyo sasa inashughulikia kukamilisha makubaliano na Sassuolo.   Kiungo huyo wa kati wa Kiitaliano mwenye umri …

Soma zaidi
Bakayoko Ameachiliwa na Chelsea huku Mkataba Wake na Klabu Hiyo Ukimalizika
Daily News

Kiungo wa kati wa Chelsea Tiemoue Bakayoko ameachiliwa baada ya kumalizika kwa mkataba wake, klabu hiyo imethibitisha.   Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alisajiliwa na meneja wa zamani …

Soma zaidi
Leicester Wamemteua Maresca Kama Kocha Wao Mpya
Daily News

Leicester wametangaza kumteua Enzo Maresca kama meneja wao mpya kwa mkataba unaoendelea hadi 2026.   Muitaliano huyo mwenye umri wa miaka 43 anawasili katika Uwanja wa King Power baada ya …

Soma zaidi
Manchester United Wamgeukia Osimhen
Daily News

Klabu ya Manchester United sasa imemgeukia mshambuliaji wa mabingwa wa Italia raia wa kimataifa wa Nigeria Victor Osimhen baada ya kuona ugumu kwenye dili la Harry Kane. Manchester United walikua …

Soma zaidi
De Gea Kuondoka Man United
Daily News

Golikipa wa klabu ya Manchester United David De Gea ana uwezekano mkubwa wa kuondoka ndani ya klabu hiyo katika majira haya ya joto baada ya kuitumikia kwa miaka kumi na …

Soma zaidi
Saliba Mambo Shawari Arsenal
Daily News

Beki wa klabu ya Arsenal raia wa kimataifa wa Ufaransa William Saliba anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia washika mitutu hao kutoka jiji la London kwa muda mrefu zaidi. …

Soma zaidi
Mason Greenwood Arejeshwa kwenye Kikosi United
Daily News

Klabu ya Manchester United imemrejesha mshambuliaji wake wa kimataifa wa Uingereza Mason Greenwood kwenye kikosi ambacho kitatumika msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Mason Greenwood ameonekana leo kwenye tovuti ya klabu …

Soma zaidi
1 2 3 469 470 471 472 473 474 475 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.