Simba Yamfukuzia Adebayor
SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba inamfukuzia kwa karibu mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor ambaye anakipiga klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. Simba wameonesha nia ya kumuhitaji mchezaji huyo kabla …

Soma zaidi
Tanzania Yafufua Matumaini Afcon
SOKA LA BONGO

Timu ya taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars imefufua upya matumaini ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2024 baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa bao bao moja …

Soma zaidi
PSG Yakaribia Kumnasa Enrique
Ligue 1

Klabu ya PSG ipo mbioni kumalizana na aliyekua kocha wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Luis Enrique kama kocha wao mkuu kwa msimu ujao. Klabu ya …

Soma zaidi
Arsenal Yamgeukia Romeo Lavia
Daily News

Klabu ya Arsenal inaarifiwa inamvizia kinda wa kimataifa wa Ubelgiji ambaye anakipiga klabu ya Southampton Rome Lavia kwajili ya kuboresha eneo la kiungo la klabu hiyo. Arsenal ambao kwasasa wanapigania …

Soma zaidi
Manchester United Yamuwinda Nyota wa Palace
Daily News

Klabu ya Manchester United inamuwinda winga wa klabu ya Crystal Palace nyota wa kimataifa wa Uingereza Eberechi Eze katika kipichi hichi cha majira ya joto. Manchester United inataarifiwa kua inamuwinda …

Soma zaidi
Milan Wanamalizia Ujio wa Kamada
Daily News

Milan wanajiandaa kumkaribisha Daichi Kamada kwa uhamisho wa bila malipo na wameanzisha matibabu ya kawaida ya kabla ya uhamisho.   Kiungo huyo wa kati wa Japan mwenye umri wa miaka …

Soma zaidi
Kocha wa Morocco Apendekeza Amrabat Atasaini Mkataba na Klabu Mpya
Daily News

Kocha wa Morocco Walid Regragui alieleza kwamba alimtuma Sofyan Amrabat nyumbani kwa sababu kiungo huyo wa kati wa Fiorentina ‘atasaini klabu mpya hivi karibuni’.   Mchezaji huyo mwenye umri wa …

Soma zaidi
Bologna Wanatarajia Kumpoteza Thiago Motta kwenda PSG
Daily News

Thiago Motta ameibuka kuwa kipenzi kipya cha Paris Saint-Germain na Bologna wanaripotiwa kukata tamaa juu ya nafasi yao ya kumbakisha Mtaliano huyo mwenye asili ya Brazil.   Miamba hao wa …

Soma zaidi
Juventus Wamethibitisha Kusajiliwa kwa Kulusevski Kwenda Tottenham
Daily News

Juventus wamethibitisha kuwa Tottenham wamekamilisha uhamisho wa Dejan Kulusevski kwa €30m kulipwa katika miaka sita ya kifedha.   The Old Lady na Spurs wamethibitisha dili la uhamisho wa kudumu wa …

Soma zaidi
Alexander-Arnold: Nafasi ya Kiungo Uingereza Imekuwa Yangu Mara kwa Mara
Daily News

Trent Alexander-Arnold anaamini kuwa safu ya kiungo ya Gareth Southgate ni shuti lake bora zaidi kung’ara kwa Uingereza.   Nyota huyo wa Liverpool alicheza vyema katika nafasi hiyo katika ushindi …

Soma zaidi
1 2 3 468 469 470 471 472 473 474 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.