Arsenal Yamgeukia Romeo Lavia

Klabu ya Arsenal inaarifiwa inamvizia kinda wa kimataifa wa Ubelgiji ambaye anakipiga klabu ya Southampton Rome Lavia kwajili ya kuboresha eneo la kiungo la klabu hiyo.

Arsenal ambao kwasasa wanapigania dili la kiungo wa kimataifa wa Uingereza Declan Rice, Lakini macho yao pia yameelekea kwa kijana wa miaka 19 Romeo Lavia ambaye klabu yake ya Southampton imeshuka daraja msimu huu.ArsenalRomeo Lavia licha ya umri wa miaka 19 alio nao lakini amekua kwenye kiwango bora sana msimu uliomalizka, Huku akihesabiwa moja ya wachezaji bora na waliofanya vizuri ndani ya klabu ya Sotton licha ya klabu hiyo kushuka daraja.

 

Arsenal wanaonekana wako makini sana katika dirisha hili kuboresha klabu hiyo haswa kwenye eneo la katikati kwani wamekua wakihusishwa na viungo mbalimbali, Lakini kwa Romeo Lavia inaelezwa wako makini zaidi pamoja na Declan Rice wa West Ham United.ArsenalKlabu ya Arsenal inaweza kukumbana na upinzani pia katika dili la kiungo Romeo Lavia mwenye miaka 19, Kwani mklabu ya Manchester United nao wameripotiwa kumfatilia kinda huyo wa kimataifa wa Ubelgiji ambaye ameonesha kiwango kizuri akiwa na Southampton.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.