Azam Yamuongezea Mkataba Bajana
Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kumuongezea mkataba kiungo wake matata klabuni hapo Sospeter Bajana ambaye ataendelea kusalia nda ni ya timu hiyo mpaka Juni 2026. Azam wameachana na wachezaji wengi …
Di Maria Njiani Kurejea Benfica
Winga wa zamani wa vilabu vya Real Madrid, Manchester United, PSG, na klabu ya Juventus Angel Di Maria ameamua kurejea kwenye klabu yake ya zamani klabu ya Benfica. Angel Di …
Chelsea Waikataa Ofa ya United Tena Kwa Mount
Klabu ya Chelsea imekataa ofa ya klabu ya Manchester United kwa mara nyingine kwajili ya kumsajili kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uingereza Mason Mount. Chelsea walikataa ofa …
Arsenal na Havertz Mambo ni Shwari
Klabu ya Arsenal imekaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani Kai Havertz alieykua anakipiga katika klabu ya Chelsea kwa usajili wa Euro milioni 65. Arsenal inapambana kuhakikisha inafanya …
Timu Samatta Yaibuka Kidedea dhidi ya Timu Kiba
Timu Samatta imefanikiwa kuifunga timu ya Alikiba yaani Team Kiba katika mchezo wa hisani uliopigwa katika dimba la Chamazi leo kwa mabao manne kwa mawili. Timu Samatta wameweza kulipiza kipigo …
Manchester United Yamuuza Kinda Wake
Klabu ya Manchester United yakubali kumuuza kinda wake raia wa kimataifa wa Iraq mwenye umri wa miaka 20 kwenda klabu ya Utrecht ya nchini Utrecht. Manchester Unired imekubali kumuachia kinda …
Son: Bado Nipo Sana Spurs
Winga wa klabu ya Tottenham Hotspurs Heung Ming Son raia wa kimataifa wa Korea Kusini amesema hana mpango wa kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia Uarabuni. Winga Son ameyasema …
Manchester United Yavutiwa na Dimarco
Klabu ya Manchester United inavutiwa na beki wa kushoto wa klabu ya Inter Milan ya nchini Italia Federico Dimarco kwajili ya kuboresha kikosi chake kwajili ya msimu ujao wa ligi …
Bacca Kuvuna Mkwanja Mrefu Yanga
Beki wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 Ibrahim Hamad Bacca ataboreshewa mshahara pamoja na mkataba wake. Beki huyo …
Ishu ya Bangala na Djuma Kutoka Yanga Ipo Hivi
Djuma Shaban na Yannic Bangala wanatajwa kuomba kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga. Habari zinaeleza kuwa kuondoka kwa Nasreddine Nabi ndani ya Yanga kwenye benchi la ufundi kunawafanya mastaa …

