Zilliacus Ataongeza €400m Kwaajili ya Uwekezaji wa Serie A
Serie A

Thomas Zilliacus, ambaye tayari anahusishwa na kuinunua Inter kutoka Suning, amechangisha €400m kwa uwekezaji katika vilabu vya Serie A.   Mjasiriamali huyo wa Kifini alikuwa amedokeza kwamba alitaka kuinunua Inter …

Soma zaidi
Newcastle Yaanza Kumpigia Rada Barella
Daily News

Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Newcastle, wanajitahidi kukamilisha mkataba na Inter kwa ajili ya kumnasa Nicolo Barella wa kimataifa wa Italia.   Jarida la Uingereza linadai kwamba Newcastle, ambao …

Soma zaidi
Ouattara avunja mkataba Simba
SOKA LA BONGO

BEKI mwili nyumba wa Simba, Mohammed Ouattara, ameona isiwe shida na kufikia makubaliano mazuri na klabu hiyo, ya kuvunja mkataba ili aondoke hapo Msimbazi. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi …

Soma zaidi
Vinicius Jr Kuongoza Kampeni ya Kupinga Ubaguzi
La Liga

Winga wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Vinicius Jr ametangazwa kama kiongozi wa kampeni ambayo imeanzishwa ili kupingana na masuala ya ubaguzi wa rangi. Shirikisho …

Soma zaidi
Sarri Ashinikiza Kumsajili Milik
Daily News

Gazzetta linaripoti kuwa, Maurizio Sarri anashinikiza kumsajili Arkadiusz Milik na Lazio wameanza mazungumzo ya awali na mshambuliaji huyo wa zamani wa Juventus.   Juventus hawakutumia chaguo la euro milioni 7 …

Soma zaidi
Bellingham: Sijafata Pesa Real Madrid
La Liga

Kiungo mpya wa klabu ya Real Madrid ambaye amejiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Borussia Dortmund Jude Bellingham amesema hajajiunga na klabu hiyo kwasababu ya pesa. Kiungo Bellingham amesema …

Soma zaidi
Bonucci: “Tunataka Kurejea Kwenye Burudani na Kutoa Shauku kwa Mashabiki wa Italia”
Daily News

Nahodha wa Juventus na Italia Leonardo Bonucci amesisitiza kwamba wachezaji wa kikosi cha timu ya taifa wanataka ‘kurejea kuburudisha na kuwapa shauku’ mashabiki kabla ya nusu fainali ya Ligi ya …

Soma zaidi
Shomari Kapombe Atemwa Kikosi cha Taifa Stars
SOKA LA BONGO

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche ameita majina 30 ya wachezaji wa taifa stars watakaoingia kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya …

Soma zaidi
Atletico Madrid Waungana na Tottenham Kumuwinda Ibanez wa Roma
Daily News

Atletico Madrid wamejiunga na klabu ya Tottenham inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza kama klabu zenye nia ya dhati ya kutaka kumsajili beki wa kati wa Roma Roger Ibanez katika dirisha …

Soma zaidi
Bastoni Aondolewa katika Nusu Fainali ya Ligi ya Mataifa Dhidi ya Uhispania
Daily News

Beki wa Inter Alessandro Bastoni hatimaye ameondolewa kwenye mchezo wa Italia dhidi ya Uhispania kutokana na homa na nafasi yake kuchukuliwa na Alessandro Buongiorno wa Torino.   Bastoni hakufanya mazoezi …

Soma zaidi
1 2 3 471 472 473 474 475 476 477 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.