KAMA ulidhani Bernard Morrison ana mgogoro na klabu yake ya Yanga basi sahau, baada ya ripoti nyingi kuwa Morrison aliondoka nchini kwenda kwao Ghana kwa matatizo ya kifamilia kwa mujibu wa Afisa Habari wa Timu hiyo Ali Kamwe. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Hatimaye Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said alisema kuwaana imani kubwa na na Bernard Morrison. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Nina imani kubwa na Bernad Morrison. Yupo katika matibabu na kama klabu tutahakikisha anarejea uwanjani akiwa mwenye afya njema ili aendelee kuitumikia timu yetu. “ Eng. Hersi Said Rais wa Yanga SC .
Bernard alijiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha kubwa msimu wa 2022/23, akitokea kwa watani zao Simba SC, lakini kabla ya hapo alitokea Yanga ikiwa ni klabu yake ya kwanza kumtambulisha hapa nchini ambapo alicheza kwa nusu msimu. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.