KAGOMA AWAGOMBANISHA SIMBA NA YANGA

TAARIFA za kikachero ambazo Meridian Sports zinazo ni Kwamba Yusuph Kagoma amezigonganisha Simba na Yanga na hadi Sasa haijulikani atacheza Msimu Ujao.

Meridian Sports lina taarifa za ndani na zenye uhakika kuwa Kagoma alishakubaliana Kila kitu na Yanga Afrika ikiwemo kusaini na kuvuta Chake.kagomaLakini Simba wakaja kuingilia kati na kupanda dau kubwa zaidi na Kagoma akachukua Hela na kusaini tena.

Mtoa taarifa hii ambaye ni mtu wa ndani kabisa wa Simba, alisema: “Kagoma amejichanganya, inaonekana amechukua Hela ya Simba na Yanga, Sasa hapa busara inatakiwa itumike.kagoma“Kwakuwa Singida Fountain Gate FC wao walikubaliana na Yanga Kila kitu kuhusu Kagoma, lakini yeye amefanya tofauti.”

Acha ujumbe