LAMECK LAWI ASAINI MIAKA MITATU SIMBA

TAARIFA kutoka ndani ya Uongozi wa Simba ambazo Meridian Sports zimepata ni Kwamba Beki kinda wa Coastal Union LAMECK LAWI amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuitumikia Simba.

Mtoa taarifa huyo ambaye pia ni msimamizi wa wachezaji kadhaa Bongo alisema, Simba wametoa takribani milioni 100 hadi wanaipata Saini ya Kitasa hicho ambacho KULIKUWA kinawindwa pia na Azam FC.lamech lawiLameck Lawi ni mali ya Simba na ameshapewa Baraka zote na viongozi wa Coastal Union. Azam FC walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kumchukua, lakini Simba wakafika juu zaidi na wakamsajili,” alisema mtu huyo.

Acha ujumbe