Kocha Rhino Aponzwa na Kauli Zake Yanga

Kocha mkuu wa Rhino Rangers ya mkoani Tabora Athumani Bilali ‘Bilo’ ni kama kauli zake zimemponza, baada ya timu yake kuchezea kichapo kikali cha mabao 7-0 kutoka Yanga SC. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

YANGA

Kabla ya mchezo huo wa hatua ya 32 bora kati ya Yanga SC dhidi ya Wanajeshi wa jeshi la wanamchi (JWTZ) Rhino Rangers kutoka mkoani Tabora, kocha wa timu hiyo Athumani Bilo alisema kuwa Hatishwi na timu ya Yanga kwani ni ya kawaida mno.

 

YANGA

Lakini pia baada ya mchezo kumalizika Bilo alihojiwa, na kurudia kusema kuwa Yanga inacheza hovyo hovyo, hivyo kwa mantiki hiyo inamaanisha kwamba timu ya wananchi inacheza hovyo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Kwa kauli hizi mbili ukilinganisha na matokeo ya jana usiku, unaweza kupata picha na majibu ya moja kwa moja kuwa Kocha huyo alishindwa kuonesha kuukubali uwezo wa mwalimu mwenzake Nasraddine Nabi, na hivyo Nabi huenda aliwaambia wachezaji wake anataka mabao mengi. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.