MCHAMBUZI MKONGWE wa Michezo Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25, Jembe amezungumzia mchezo mzima na kumtaja nyota mpya wa Mnyama Joshua Mutale. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.
Kisukuma Mutale, maana yake ni mkubwa, ila unatakiwa kuivuta kidogo Mutaale…
Huyu Mutale wa Simba kiumbo si mkubwa lakini mambo yake ni makubwa na atakuwa gumzo ninaamini.
Kasi…nguvu…si mwoga na ana uwezo wa kuwatambuka hata walinzi watatu… Lakini hatari zaidi anapiga mashuti…
Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi zinakaribia kuanza, usije kupishana na gari la Mshahara.
Mfano bao la pili la Simba dhidi ya Wasaudi, alipokea mpira pembeni, akatembea kwa kasi na kupiga shuti kali sana…Likagonga mwamba na kurudi ndani.
Wakati walinzi wanajishauri kwa kasi yake alishafika na kupiga shuti tena…BAOO.
Anyway ni mchezaji ambaye inaweza kuwa moja ya KARATA BORA WALIZOPATA SIMBA na ITACHANGIA WAREJEE…
Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.