Mawindo ya KMC Kuhamia kwa Tanzania Prisons.

KMC msimu huu wameuanza kwa kasi mithiri ya Kobe, tofauti na misimu mingine ambayo mpaka raundi hii ya 13 huwa wanakuwa kwenye nafasi za juu tofauti na msimu huu ambao wapo nafasi ya 10 kwa alama 10.

kmc

Tarehe 28 Jumatatu KMC watarudi uwanjani kumenyana na Wajera jera Tanzania Prisons ambao nao hawana msimu mzuri sana, kwani wana alama 14, wakiwa nafasi ya 11 nyuma ya nafasi moja kwa KMC.

Mchezo wa mwisho wa KMC kwenye Ligi walipoteza ugenini kwa bao 1-0 dhidi ya Singida Big Star, kitu kilichowanyima alama tatu muhimu kwenye mchezo huo.

Bao la Singida lilifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Simba Meddie Kagere ambaye unakuwa ni mchezo wake wa pili mfululizo kufunga baada ya ule dhidi ya Yanga kufunga pia.

Kino Boys watahitaji kushinda mchezo huo ili kujiweka kwenye nafasi salama zaidi kuelekea mwishoni mwa mzunguko wa kwanza ikiwa imesalia michezo mitatu tu kutamatika. Mechi ina ODDS kubwa Meridianbet Bonyeza hapa kubeti.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

aviator

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.