Robertinho Aibuka na Mifumo Mitatu Hatari Simba

Robertinho-Simba

Kocha Robertinho amefunguka kuwa kambi ya Simba nchini Uturuki imekuwa na manufaa makubwa kwani sasa amepata mifumo MITATU hatari ambayo Simba inaweza kutumia katika michuano yote kwa msimu unaoanza mwezi ujao. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Robertinho alisema mifumo hiyo imetokana na upana wa kikosi chake cha Simba kufuatia ujio wa mastaa bora ambao wamekuja na nguvu kubwa kuunganisha na wale ambao wamewakuta.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Hata hivyo Kocha huyo alikataa kuanika mifumo hiyo kwa kusema ni sawa na kuuza siri za kambi ya vita, lakini akasema ataitesti kwenye mechi ya Tamasha la Simba Day dhidi ya Power Dynamos.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe