simba-onana

INAELEZWA kuwa Klabu ya Simba ya Tanzania imefikia makubaliano ya kuinasa saini ya winga anayekipiga Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda Leandre Essomba Willy Onana. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Simba kwa sasa inapambana kusuka upya kikosi hicho na tayari imeshaachana na kiungo Agustino Okra raia wa Ghana ambaye ndani ya ligi alitupia mabao manne.

Simba inahitaji kuvunja rekodi ya Yanga kucheza fainali Kombe la Shirikisho na hesabu zao ni kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Onana ni raia wa Cameron anatajwa kubiukia ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2023/24.


Nyota huyo mwenye miaka 23 inaelezwa kuwa amekataa kujiunga na Singida Big Stars baada ya ofa ya Simba kuwa nzuri. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Kwa 2022/23 ni kinara wa ufungaji mabao kwenye ligi ya Rwanda baada ya kufunga mabao 16 na kutoa assists 10. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa