Singida Kuvaana na Kagera Sugar Leo

Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo timu ya Hans Pluijm Singida Big Stars wanaawalika nyumbani kwao Kagera Sugar ya Mecky Mexime saa 10:00 jioni.

 

Singida Kuvaana na Kagera Sugar Leo

Singida ambao walitabiriwa kuchukua Kombe la Mapinduzi baada ya kufika hatua ya fainali kwa kuonyesha kiwango kikubwa kwenye nusu fainali kwa kumtwanga Azam mabao manne kwa moja, lakini ikawa tofauti.

Wakaingia Fainali na kushangazwa na timu ya Mlandege kwa kuchapwa mabao 2-1 ana kukosa kombe hilo ambalo wangeweza kuchukua baada ya kufika hatua ya fainali.

Singida wapo nafasi ya nne ya msimao baada ya kcheza michezo yake 19 wakjusanyia pointi zao 37 kwa kushinda mechi zao 11, sare nne na kupoteza mara nne, akiwa ameshinda mechi zake mbili mfululizo.

Singida Kuvaana na Kagera Sugar Leo

Wakati kwa upande wa Kagera Sugar wao wanashikilia nafasi ya 8 wakiwa na pointi zao 24 baada ya kushinda mechi zao sita, sare sita na kupoteza michezo yao saba, pia wakitoka kupoteza mechi ya mwisho.

Mechi ya mzunguko wa kwanza walivyokutana timu hizi mbili Walima alizeti waliibuka na pointi tatu wakiwa ugenini. Leo wapo nyumbani Mexime anaweza ondoka na alama?.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.