YANGA, AZAM FC FAINALI YA KISASI FA

Yanga imetinga hatua ya fainali ya CRDB Federation Cup kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa.

YANGA, AZAM FC FAINALI YA KISASI FA

Ni dakika ya 104 bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na Aziz KI katika mchezo wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Ni fainali ya nne kwa Young Africans katika CRDB Federation Cup wanakwenda kukutana na Azam FC, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Manyara.

YANGA, AZAM FC FAINALI YA KISASI FA

Itakuwa ni fainali dhidi ya Azam FC iliyopishana na taji hilo msimu uliopita kwa kufungwa bao 1-0 na Yanga bao la Kenedy Musonda.

Fainali hiyo itapigwa huko Babati Mwezi Juni tarehe 02 ambapo watu watashuhudia ni nani ataondoka na ubabe. Je ni Azam au Young Africans?. Endelea kubeti na meridianbet wababe wa ODDS KUBWA Tanzania nzima.

Acha ujumbe