Yanga Kukabidhiwa Kombe Leo Hii Baaada ya Mchezo Dhidi ya Mbeya City

Klabu ya Yanga wanatarajiwa kukabidhiwa Kombe lao la Ligi Kuu ya Tanzania Bara hii leo kwenye mchezo wao dhidi ya Mbeya City huko Mbeya.

 

Yanga Kukabidhiwa Kombe Leo Hii Baaada ya Mchezo Dhidi ya Mbeya City

Yanga wametwaa taji hilo kwa mara ya pili mfululizo huku zikiwa zimesalia mechi mbili ambapo mechi ya kwanza kati ya hizo mbili ni pamoja na hii ya leo watakamenyana dhidi ya Mbeya City.

Mbeya City kwenye mchezo huu wa leo anahitaji ushindi sana ili ajiweke kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi na wasicheze Play Off kwani mechi hizo lolote huweza kutokea.

Yanga Kukabidhiwa Kombe Leo Hii Baaada ya Mchezo Dhidi ya Mbeya City

Tofauti kati ya pointi kwa timu hizi mbili ni 44 huku mechi ya kwanza kukutana, Wanakoma Kumwanya walipoteza kwa mabao 2-0. Je hii leo Mbeya City wanaweza kulipa kisasi?

Je vijana wa Nabi watakubali kupoteza mchezo siku maalumu kama ya leo? Bashiri mechi hii ikiwa na ODDS KUBWA sana pale Meridianbet.

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.