Yanga Yamalizana na Fei Toto Mwezi Januari

Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga inaripotiwa kuwa wameendelea kutekeleza kanuni za mkataba wa kiungo wao Feisal Salum “Fei Toto” kama kawaida ambapo mwezi huu Januari wamemlipa mshahara wake wa mwezi wa kwanza pamoja na marupurupu mengine kama ambavyo Yanga imelipa wachezaji wengine. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

 

fei toto

Tangu Disemba 22 mwaka 2022 Fei Toto ambaye kwa sasa yupo Zanzibar aliiwekea ngumu Yanga kwa kuvunja nao mkataba ambapo mabingwa hao mara nyingi zaidi wa Ligi kuu wameendelea kumshikilia kwa kuwa kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya TFF ilimua kuwa mchezaji huyo bado ni mali ya Yanga.

Kwa kuona umuhimu wa mchezaji huyo kwenye timu, uongozi wa Yanga kupitia kwa CEO Andre Mtine alimwandikia barua Fei Toto akimtaka kurejea kambini, kwani bado timu inamuhitajji na ni mchezaji muhimu kwa Yanga. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Lakini kushikilia msimamo wake, Fei Toto ameendelea kukaidi na kusema kuwa anataka marejeo ya kesi hiyo endapo asiporidhishwa na uamuzi wa TFF ataenda FIFA kushitaki kudai haki yake kama mchezaji. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Acha ujumbe