Aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara, ameeleza kuwa haridhishwi na idadi ya mashabiki wanaojitokeza kushuhudia mechi za timu hiyo kwa siku za hivi karibuni. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

 

manara

Manara ameandika masikitiko yake kwenye mitandao yake ya kijamii akiwataka mashabiki wa timu hiyo, kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa leo kati ya Yanga na Ruvu Shooting utakaopigwa majira ya saa1 usiku kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

“ Washabiki wetu tunapaswa kujibidiisha kwenda Uwanjani ili kuhanikiza ushindi wa leo.

 

manara
Mashabiki wa Klabu ya Yanga Wakiwa Uwanjani

“Hatupaswi kuishia mitandaoni tu na kutambia ubora wetu tulio nao, kiukweli binafsi siridhishwi na namba ya mashabiki wakati huu timu yetu inafanya vizuri na tunaongoza ligi.

“Sasa kila mmojqa kwa nafasi fake amhimize mwenzie kuja uwanjani kwa mkapa, imagine mikoani wanawashinda watu wa Dar kupendezesha uwanja”. Haji Manara.

Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa