Adi Yussuf Atua Wrexham AFC.


Mshambuliaji raia wa Tanzania Adi Yussuf amejiunga na klabu ya Wrexham AFC ya huko nchini Wales kwa mkopo wa msimu mzima kutokea klabu ya Blackpool ya nchini Uingereza.

Adi Yussuf mwenye umri wa miaka 28, amefunga magoli 21 katika michezo 54 aliocheza klabu ya Sohihull msimu wa mwaka 2018/2019.

 

 Adi Yussuf Atua Wrexham AFC.

Naimani nitafunga magoli na kujituma hapa, tutafanya makubwa mwaka huu” – Yussuf baada ha kusaini klabu yake mpya ya Wrexham AFC.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

44 Komentara

    Nenda kapambane kijana

    Jibu

    Usikivu ndo jambo la muhimu

    Jibu

    Watanzania sikuiz hawashikiki kwenye soka Hongera sana Adi Yusufu

    Jibu

    daaa kaza mzee watanzania tupo nyuma yako

    Jibu

    Mmmh! Hayaaa!!!

    Jibu

    Adi kijana hodari ila anapaswa pia apambane sana kwenye timu ya taifa ili tanzania ifike mbali kisoka

    Jibu

    Vipaji Tanzania vipo sasa tunakwama wapi kwenye soka letu.

    Jibu

    karibu Adi yussuf uonyeshe kipaji chako#meridianbettz

    Jibu

    Naona tanzania sasa itafika mbali maana Adi yusufu sio mchezo

    Jibu

    Hongera sana Adi

    Jibu

    Kila la kher

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

    Akaonyeshe juhudi zake sasa

    Jibu

    Pongezi kwa hatuwa uliyopiga sasa ni muda wako kuonyesha uwezo wako ili timu nyingine kubwa waweze kumezeee mate

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Ongera sana adi yusuphu juudi zako na uwezo uliokua dao hinatufanya watanzania wote tuamini ndoto zetu tunajivunia kuwa na wewe..!peperusha bendera ya Tanzania

    Jibu

    Nenda kapambane mpaka kieleweke

    Jibu

    safi sana watanzania tunazidi kuipeperusha bendera yetu kwa juhudi

    Jibu

    Vijana wa kitanzania tunazidi kupaa kwenye michezo ya kimataifa kijana kaza buti

    Jibu

    safi nenda kaipeperushe bendera

    Jibu

    Kila lakheri kaiwakilishe nchi yako vizuri watu wajue kumbe Tanzania Kuna vipaji

    Jibu

    Mambo ya usajili

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Sio mbaya zaidi anatakiwa akaze buti tuu

    Jibu

    Vipaji Tanzania vipo sasa tunakwama wapi kwenye soka letu.

    Jibu

    Hongera sana kijana

    Jibu

    Ongera yake Sana kapambane mzee baba

    Jibu

    Tunahitaji akina Adi Yusuf wengi kutoka TZ ambapo manufaa watakakuwa wanapata yataongeza chachu ya vijana wetu kujituma zaidi na kujua mpira ni maisha#meridianbettz

    Jibu

    Kila la kheli

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Kapambaneee vyemaa kijana

    Jibu

    Safi,endelea kupambana utafanikiwa.

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Watanzania ote tuko nyuma yake tunamsaport.

    Jibu

    Ni poa adi kupambana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Hongera Sana Adi kapambane kijana.

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Ni habar njema sana kwa watanzania

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Pongezi Sana kwa kupeperusha bendera ya taifa

    Jibu

    Karibu Kwenye Mapambano

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.