Mchezaji wa kimataifa kutoka Brazil Allan anajiandaa kuondoka Napoli kwa kiasi cha fedha kinacho ripotiwa kufika £25m na kutua katika klabu ya Everton ya Premier League baada ya kuhusishwa kuondoka klabuni hapo kwa miaka ya hivi karibuni.
Dili ya uhamisho wa Allan kwenda Paris Saint-Germain yenye thamani ya €100m ilishindikana mwaka 2019 kipindi Carlo Ancelotti alipokuwa meneja wa Partenopei.
Lakini badala yake sasa Allan anaelekea Merseyside kuungana na Ancelotti kwa mara nyingine katika dimba la Goodison Park, amesema De Laurentiis.
Aliiambia Radio Kiss Kiss: “Tupo katika hatua za mwisho kukamilisha uhamisho, Allan atakwenda Everton.
Allan mwenye umri wa miaka 29, alijiunga na Napoli akitokea Udinese mwaka 2015 ameshacheza michezo 150 katika ligi ya Serie A, na kufanikiwa kushinda taji la Coppa Italia msimu uliyopita.
Everton pia wapo kwenye kuhusishwa na uhamisho wa nyota wa Real Madrid, James Rodriguez mchezaji mwingine wa zamani wa Carlo Ancelotti.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Sabrina
Allan Karibu Everton
Issa
Everton wamefanya kweli katika kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao wa epl
Rose kapinga
Usajili mzuri sana
Shafii
Msimu ujao patachimbika EPL maana club zinafanya usajiri kweli.
aisha
Everton mmefanya jambo la maana kumsajili kijana allan
Samira
Msimu huu vilabu vimejipanga sana hongera Everton
Khadija
wachezaji kwann wanapenda kuhama hama kutoka timu moja kwenda timu nyengine kwani viongoz wanakwama wapi?
rama
EPL sasa inazidi pamba moto
Edgar
Safi
Amiri Kayera
Ni usajir nzurii huu
Hope mwaikuka
Waoo! Am happy for him
Theckla
Everton wameula
Ester jackson
Evarton wakifanikiwa kuipata saini ya James ni jambo nzuri sana mana hasaivi naona kama wamepotea
Saupha mohamed
Huuu msimu usajili mzuri mnoo
Zeiyana
Ongera sana Allan upo sehemu sahihi kwa matokea waliyokua nayo evarton wanajitaidi sana msimu huu
Sauda
Karibu sana Everton
magdalena
habari njema kwa mashabiki wa everton tunasubiri kuona maendeleo mazuri ya kupanda tu daraja
Tatu
Everton wameamua kusajili allan lasmi
felister
tunategemea maendeleo mazuri msimu ujao
Caroline
Allan karibu Everton
Dorophina
Kila lakheri Allan kaitumikie everton
Ernest
kwa usajiri huu kwa Everton msimu wa 2020/2021 kitawaka kweli ndani ya EPL
David Pere
Everton wamefanya kweli katika kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao wa epl
Sadick
Kila Kocha ana wachezaji anaoamini watamusaidia kufikia malengo ya kuongoza timu na kupata mafanikio. Carlo anaamini Allan atamusaidia kuifanya Everton itishe kunako EPL#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana walicho kifanya Evarton kwakumsain Kiungo mzuri
Elika
Tunakukaribisha kwa mikono miwili
Povel
Congrat Allan🤝🤝🤝
Salma ngende
Kila LA hero alete maajabu
Neema
Naona Everton wamepataa mtu sahihii
Janeflora malisa
Krb sana
Agness
Everton wamepata jembe
Furahav
Everton msimu ujao itakua vizuri sana.
Hidaya
Habari njema kwa mashabiki wa Everton
Rehema
Karibu Everton
Nasra
Hii ni kandarasi nzuri kwa Everton.
Shani
Everton. Mmefanya usajili bomba huu wapambane sana
Fatuma kasomo
Usajili uko poa
Asia Abdy
Safi sana
Latifa juma mohamed
Tunategemea mabadiliko chanya Everton kwa msimu ujao.
Gabriel
Imekaa poa
Mwanahamisi
Kila la kheri
Samiah
Safi
farida ahmadi
Everton wamefanya kitu kizuri Sana
warda
Safi sana