Grealish Aitwa Timu ya Taifa, Rashford na Winks Nje.

Jack Grealish ameitwa katika kikosi cha wakubwa katika timu ya taifa ya Uingereza kuelekea michuano ya ligi ya mataifa ya Ulaya na huenda akacheza kwenye mchezo dhidi ya Iceland na Denmark, wakati Marcus Rashford na Harry Winks wameondoshwa kwenye kikosi cha England.

Grealish mwanzoni alisahaulika katika kikosi cha England ambao wapo kundi A2 na wamepangwa kukutana na Iceland siku ya Jumamosi na siku tatu baadaye Waingereza watarudi dimbani kuumana na Denmark jijini Copenhagen.

Nahodha huyo wa timu ya Aston Villa sasa amepangwa ndani ya kikosi na mwalimu Gareth Southgate ambapo mwanzo alikosolewa kwa kumuacha kiungo huyo wiki iliyopita.

Grealish aliiwakilisha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 ya England ambayo pia ilikuwa chini Southgate mwaka 2016.

Mchezaji wa klabu ya Manchester United Rashford, atakosa michuano hiyo kufuatia kupata majeraha kwenye kifundo cha mguu, wakati kiungo wa Tottenham Winks pia hatokuwa sehemu ya klikosi cha England kutokana na majeraha kwa hiyo Southgate amekipanga kikosi cha wachezaji 24 pekee.

Rashford aliweka ujumbe Twitter siku ya Jumatatu: “Kamwe sitaki kuiangusha timu hii lakini ratiba imenibana sana.

“Nimejaribu kadri ya uwezo wangu lakini inanibidi kuangalia msimu mpya nikiwa nimeimarika kwaajili ya klabu na taifa langu. Kila la kheri vijana, nitajumuika nanyi nikiwa nyumbani.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

44 Komentara

    Pole sana Rashford. Mwenyez mungu akufanyie wepesi urudi kambibi

    Jibu

    Pole sana Rashford

    Jibu

    Rashford yupo vizuri sana ni mchezaji hanaye jituma sana akiwa dimbani..!pole sana

    Jibu

    Pongezi sana Grealish

    Jibu

    duh timu ya taifa imekosea sana kumtoa fundi kama rashford

    Jibu

    majeraha ndo yamesababisha mwenyezi mungu atakupa taafifu

    Jibu

    Rashford ana mapenzi ya dhati na timu yake kitendo cha kuumia kimemuuma sana kukosa kucheza

    Jibu

    Grealish yupo vizuri.

    Jibu

    Ni mchezaji mahiri Sana.pole

    Jibu

    BINAFSI NAONA SOUTHGATE ANACHANGAMOTO KUBWA SANA KATIKA KIPINDI HIKI KUCHAGUA KIKOSI ATA KUMUACHA RASHFORD PIA KAPUYANGAAAA

    Jibu

    Rashford yupo vizuri pole yake atakaa sawa

    Jibu

    Kwa sasa kocha wa England anachagua kubwa la wachezaji bora kuliko kipindi kingine chochote, hii ni nafasi ya Jack Grealish kuongeza thamani yake sokoni#meridianbettz

    Jibu

    Kwa sasa kocha wa England anachagua kubwa la wachezaji bora kuliko kipindi kingine chochote, hii ni nafasi ya Jack Grealish kuongeza thamani yake sokon

    Jibu

    Pole yake Rashford atakaa sawa tuu

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole Rashford % winks natumain jack grealish hatatuonyesha kitu national timu

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole kwake

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Sawa lakin rashford namkubal sana yuko vizur

    Jibu

    pole sana Rashford

    Jibu

    habari njema kwake anapaswa akaonyeshe uwezo hasa

    Jibu

    Pole sana rashford utakaaa sawa tuu

    Jibu

    Kocha kafanya vizuri kumuita jack.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Kocha ajafanya vibaya kumuita jack

    Jibu

    Grealish ni bonge la player kinachomuua Ni timu tu anayoichezea.

    Jibu

    Graelish atakiwasha sana pale england

    Jibu

    Kwann lakin mmemuacha rashford

    Jibu

    Rashford mungu atakuponya

    Jibu

    Amestahili kwakwer

    Jibu

    Graelish makini sana kukipiga england fowadi makin sana

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Rashford pole sana,mungu ni mwema utapona tuuu na kurudi kiwanjani tena!!!

    Jibu

    Mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Kwa kiwango cha grealish anastahili kuwepo kwenye kikosi cha taifa.

    Jibu

    Rashford ni kiungo Bora Sana.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole mungu akufanyie wepec upone mapema

    Jibu

    wachezaji bora kuliko kipindi kingine chochote, hii ni nafasi ya Jack Grealish kuongeza thamani yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole sana rashford

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

Acha ujumbe