Braithwaite: Sijaomba Namba 10 ya Messi.

Martin Braithwaite amekanusha vikali madai ya kwamba tayari ameomba jezi namba 10 inayomilikiwa na fundi wa mpira Lionel Messi.

Taarifa za Spain zinadai Braithwaite amekuwa na matarajio ya kuichukua namba ya mchezaji huyo wa historia katika klabu ya Barcelona na yupo kwenye mazungumzo na the Blaugrana.

Messi ameitaarifu Barca shauku yake ya kuataka kuondoka Camp Nou huku akihusishwa kutua katika klabu ya Manchester City na kuwashangaza watu wengi kuhusu maamuzi yake ya kutaka kondoka katika klabu aliyodumu nayo kwa miaka mingi.

Lakini, Braithwaite amesisitiza hajafanya kitu kama hicho na amsema huko ni kukosa heshima.

Braithwaite

“Watu wanafikiria nini? “kiukweli sijaenda katika klabu na kuomba namba ya Messi,” aliiambia Danish newspaper BT “itakuwa ni ukosefu wa heshima.

“Nahisi kwamba watu wanao kuja na aina hizi za stori hawana heshima hata kwa watu wengi.

“Mambo mengi yameandikwa kuhusu Messi na sijui nini kimetokea. Naweza kusema Messi ni mchezaji mkubwa na mchezaji mwenzangu katika timu ya Barcelona.

“Ni mchezaji bora wa muda wote, amefanya mambo makubwa katika klabu na kama akiondoka klabu itakuwa imepoteza mtu muhimu sana.

Braithwaite alisaini mkataba na Barcelona mwezi Februari akitokea klabu ya Leganes, kandarasi yake itaacha kufanya kazi mwaka 2014.

“Nina mkataba wa miaka minne zaidi na Barcelona, nina muda mwingi kucheza hapa ninafuraha.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

42 Komentara

    Endapo Messi ataondoka Barcelona nahisi jezi namba 10 itapumuzishwa kwa heshima yake kwa sababu ya mchango wake mkubwa kwa klabu hii ya Catalonia#meridianbettz

    Jibu

    Jezi namb 10 inabid waipumzishe kwa muda kwan kwa Barcelona ya sasa cjaona mtu wakumpa jezi hyo mpka pale watakavyo jilizisha au mpka hatakapo patikana mtu mwenye uwezo wa kukaribiah Messi legendary

    Jibu

    Jezi namba 10 ni jezi ya mafundi endapo messi atachomoka barca sidhani Kama wanaweza wakamkabizi mtu mwengine kiheshima zaidi kwa wakati huu.

    Jibu

    Ni namba ya heshima pale kwaio mtu atakaekabidhiwa itabidi awe na vitu adimu kama vya leo mess

    Jibu

    kwel kabisa uwezi vaa viatu vya messi

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Huu ni uzushi ndio maana kakanusha mambo ya uvumi hayausiani na yeye

    Jibu

    Inabidi apewe mtu ambaye atakua na maajabu kama ya messi,vinginevyo ikae kabatini tuu!!!

    Jibu

    Hyo mamba sio saiz yako

    Jibu

    jamani kwanini aombe namba10 ya messi kwani s achukue namba nyengine

    Jibu

    Atafute namba yake atoke kivyake asitafute kutokea kupitia messi

    Jibu

    Braithwaite unakwama wapi mbona unahofia au uwezo wa kuvaa kiatu cha messi huna😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

    Jibu

    Habar za kumchafua Kwa mashabik

    Jibu

    Tutasikia mengi kwa kweli

    Jibu

    Kuvaa jezi na namba kumi sio tatizo tunataka kujua anauwezo wa kuitumia au mtataka umaarufu kupitia mamba hiyo

    Jibu

    Awwzi kuvaa viatu vya messi mwacheni mesii aitwe messi

    Jibu

    Namba 10 inabidi apewe fundi kama Messi..

    Jibu

    hii namba kumi wangeiweka tu kwanza pembeni mpaka watakapompata mtu fundi kama messi

    Jibu

    Braithwaite anataka kusafilia nyota ya mess

    Jibu

    ahsante Braithwaiteb kwa kutujuza mana uvumi umezidi

    Jibu

    Jezi namba 10 sidhani kama Kuna mtu ataimiliki itakaa kama kumbukizi ya Messi kwa mchango wake ndani ya barca

    Jibu

    Binadamu kuongea ni kawaida

    Jibu

    Hatakama akichukua hiyo no hawezi kulingana na uwezo alio kua nao ukiangalia messi alikua mfalume pale Barcelona

    Jibu

    Duh kweli tutazidi kuskia mengi

    Jibu

    Jezi namba kumi itawekwa makumbusho huko Catalonia na haitokuja kuvaliwa tena ndani ya Barca, Hakuna na hatotokea wa Kupewa.

    Jibu

    Jezi namb 10 inabid waipumzishe kwa muda kwan kwa Barcelona ya sasa cjaona mtu wakumpa jezi hyo mpka pale watakavyo jilizisha au mpka hatakapo patikana mtu mwenye uwezo wa kukaribiah Messi

    Jibu

    Jezi ya namba 10 nijezi yakiwango chake Sasa yeye anakiwango Kama Cha Messi au anataka nyota ya Messi atasubili Sana kwa Jezi ya Messi

    Jibu

    Anatamani sana awez sema ukweli

    Jibu

    Bora kaongea ukweliii

    Jibu

    Mmmh noma sana.

    Jibu

    Namba kumi Ni ya heshima atafutwe mrithi atakae itendea haki camp no.

    Jibu

    Jamani messi sio kufananisha na mtu mwingine

    Jibu

    Namba 10inabid ipate mtu makini pale barca

    Jibu

    Ni mchezaji bora wa muda wote, “MESSI” amefanya mambo makubwa katika klabu na kama akiondoka klabu itakuwa imepoteza mtu muhimu sana, na kwa mchezaji braithwaite ajue kwamb ht Kama akivaa jezi no: haiwezi kufikia kiwango cha Messi.

    Jibu

    Duuuuh noma

    Jibu

    Jez no 10 itulie Kwanza muda kwan kwa Barcelona ya sasa cjaona mtu wakumpa jezi hyo mpka pale watakavyo jilizisha au mpka hatakapo patikana mtu mwenye uwezo wa kukaribiah Messi

    Jibu

    Mmh

    Jibu

    Bora kaongea ukweli

    Jibu

    Du itakuwa kalii kuvaa jezi ya Messi

    Jibu

    habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.