Europa: Tottenham Kuwafata Lokomotiv Plovdiv

Baada ya kumaliza msimu katika nafasi ya 6 kwenye Msimamo wa EPL. Tottenham wanacheza michezo ya kufuzu Mashindano ya Europa msimu ujao.

Michezo ya Kufuzu Europa msimu ujao kuanza kutimua vumbi Septemba.

Tottenham watasafiri kuwafuata Lokomotiv Plovdiv nchini Bulgaria katika mchezo wao wa kwanza wa kufuzu mashindano hayo.

Wakati huohuo, Motherwell watawafuata Coleraine, Rangers uso kwa uso na Lincoln Red Imps.

Aberdeen kukutana na Viking, Shamrock Rovers dhidi ya AC Millan. Michezo hii itaanza kutimua vumbi Septemba 17 na itachezwa bila mashabiki.

Dakika za nyongeza na mikwaju ya penati itatumika pale itakapohitajika kumpata mshindi wa mchezo wowote kati ya hii.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

49 Komentara

    Asante kwa makala#meridianbet

    Jibu

    Changamot za playoffs zimeanz but naamin uwez wa Tot kupt

    Jibu

    ITAKUWA BONGE LA MCHUANO WA KUFA MTU

    Jibu

    Ninaimani tottenham watafanya vizuri sana maana wamejipanga ilivyo

    Jibu

    Tottenham winner

    Jibu

    Win Tottenham

    Jibu

    tottenham hawa cha kupoteza mechi hiii

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    Habari njema kivumbi kinaanza Tena Mambo mazuri

    Jibu

    Hii mechi ngumu sana

    Jibu

    Tottenham yuko vizur@meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri#Meridianbettz

    Jibu

    Bonge la mechi hilo Tottenham wajitahidi wafuzu

    Jibu

    tuombe dua tuone mana mpira hautabiliki

    Jibu

    Itakuwa mchuano watari huo

    Jibu

    Spurs msimu ujao watakuwa moto sana

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Tottenham kutoka kuwa finalist UEFA Champions league hadi kucheza europa league tena kwa taabu#meridianbettz

    Jibu

    Tottenham lazma ashinde

    Jibu

    Kikwazo mashabiki tu ila mambo kama zamani

    Jibu

    itakuwa bonge la michuano

    Jibu

    Tottenham lazima ashinde

    Jibu

    Totenham wanaenda kufanya yao huko

    Jibu

    Totenham win

    Jibu

    Totenhman win

    Jibu

    tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Patachiimbika hapoo!!!

    Jibu

    Itakua pata shika nguo kuchanika

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Hbr njm

    Jibu

    Totenham kama wajipange kwa kurudi champion league msimu huu

    Jibu

    Naamini Tottenham atajipanga sana kwa hili nasuburi kwa hamu huu mtanange

    Jibu

    Spurs anauwezekano wa kupita kwenye hatua hiyo.

    Jibu

    Tottenham wanatakiwa wapambane kweli kweli

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Spurs wamekua na msimu mzuri sana

    Jibu

    Kama Tottenham wataishinda hii mechi bac itawapelekea kuanza vizuri msimu huu

    Jibu

    Spurs msimu ujao watakuwa moto sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Itakuwa siku nzurii sana

    Jibu

    Kete yangu naitupia kwa Spurs anauwezekano wa kufuzu.

    Jibu

    Tottenham wajipange msimu ujao warudi kwenye nafasi yake

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Hi iko vizuri Sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe