Lewandowski: Nitastaafu Soka Nikifikisha Miaka 40.

Robert Lewandowski anaamini anaweza kuendelea kusakata kabumbu mpaka pale atakapo fikisha umri wa miaka 40 baada ya kuendelea kuwa sehemu ya kikosi cha Bayern Munich kwa msimu mwingine.

Mshambuliaji huyo wa Bayern Munich alifunga magoli 55 msimu uliyopita 2019-20 na kuisaidia timu ya Bayern kushinda mataji matatu ndani ya msimu mmoja, na kufanikiwa kutwaa taji la Champions League kwa mara ya kwanza katika maisha yake.

Lewandowski hajaonesha dalili yoyote na kustaafu na wiki illiyopita alisema mkataba wake na Bayern Munich unaofika tamati mwaka 2023 “Haitakuwa ndiyo mwisho”.

Akiwa na umri wa miaka 32, Lewandowski aliiambia Kicker ataendelea kucheza huenda ikawa miaka nane ijayo.

Robert Lewandowski

Alisema: “Kumaliza soka langu ndani Bayern Munich ndiyo chaguo, bado nina muda wa miaka mingi kucheza”.

“Sifikirii kuhusu kustaafu kwa sasa.

“Sijihisi kama nina 32 najihisi poa kama wakati nikiwa na miaka 26, nilifanyia kazi kile nilichokuwa natamani nikipate miaka ya hivi karibuni.

Licha ya kuwa na msimu bora, Lewandowski hakufanikiwa kuwa mfungaji bora wa ulaya na kushinda kiatu cha Dhahabu baada ya kupitwa upachikaji magoli na Ciro Immobile wa Lazio aliyefunga magoli 37 wakati Lewandowski akitikisa nyavu mara 34 Bundesliga.

“Nafikiri ni aibu Bundesliga kuwa na michezo michache kuliko Serie A [ Bundesliga ina michezo 34 wakati Serie A ipo michezo 38],” alisema Lewandowski.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

50 Komentara

    Huo ni uamuzi mzuri sana.

    Jibu

    Kikubwa uhai

    Jibu

    Lewandoski bado yupo poa kwa spidi alionayo hilo ni rahisi

    Jibu

    maamuzi yake yapo sahihi umri ni mkubwa sana

    Jibu

    Huo ni uamuzi mzuri sana

    Jibu

    Safi sana broo nakukubali sana maana unajielewa

    Jibu

    Kwa umli wake cjui km atafik huo umli

    Jibu

    Kikubwa dua

    Jibu

    safii endelea kutupa burudani mashabiki wa mpira

    Jibu

    Ni vzur tu maana uwezo ni wako

    Jibu

    Ni vizuri sana 👍@meridianbettz

    Jibu

    Thiago Silva nae amesema anataka kufikia record ya Paulo Maldini kwa kucheza mpaka miaka 40. Anachotakiwa Lewandowsk ni kujitunza na kuepuka majeraha#meridianbettz

    Jibu

    Huo ni uwamuzi mzuri sana#Meridianbettz

    Jibu

    yupo sahihi maamuzi mazuri

    Jibu

    Nivizuri Sana kwalicho kiongea Lewandowski kwasababu mwili wake bado unadai kupiga kazi

    Jibu

    Sio mbaya amejiwekwea muda wa kustaafu atakua kashafikia malengo yake

    Jibu

    Lewandowski bado yupo vizuri huenda akaendelea kukipiga adi kufikia umri huo

    Jibu

    Kama bado uko fit haina shida

    Jibu

    Kila jambo ni malengo

    Jibu

    kila la kheri kwake

    Jibu

    Muda ukifika ukifika auna jinsi itabidi uwapishe wezio

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Kazi na umrii!!!

    Jibu

    Allah awe nae dua nyingi sana kwake

    Jibu

    kila la kher

    Jibu

    Kila la kher

    Jibu

    Maamuzi mazuri Sana

    Jibu

    Ajitunze na kuepuka majeraha zaidi itamsaidia kufikia lengo la miaka 40

    Jibu

    Kwa uwezo aliokua nao anaweza akafika hiyo miaka.

    Jibu

    Yote yanawezekana

    Jibu

    Duuh sasa anataka kucheza na Mpira magoti huyu

    Jibu

    Uwamuzi mzuri

    Jibu

    Hapo yy na nguvu zake alizonazo anaweza akafika umri huo

    Jibu

    Kikubwa nidhamu ili usipate majeraha

    Jibu

    Lewandowski hana mchango mkubwa pale Bayern munch ukiangalia mri wake humeenda lakini hanauwezo mkubwa sana

    Jibu

    Thiago Silva nae amesema anataka kufikia record ya Paulo Maldini kwa kucheza mpaka miaka 40. Anachotakiwa Lewandowsk ni kujitunza na kuepuka majeraha

    Jibu

    Maamuzi mazuri

    Jibu

    Maamuzi yake

    Jibu

    Kama bado yuko fitiii azidii kucheza tu

    Jibu

    Ni maamuzi mazur kujituma ndo la muhim

    Jibu

    Kwa kiwango chake alicho kionesha 2019-2020 anaweza akafika huko.

    Jibu

    Lewandoski fowad makin San kaki washa msimu huu

    Jibu

    Kazi na umri, vzr

    Jibu

    Ni Jambo jema hilo

    Jibu

    Yuko sahihi kabisa

    Jibu

    Mpira bhana una mambo mengi kuna kuumia ukashindwa kutimiza ndoto zako ila kikubwa ni kumuomba Mungu

    Jibu

    Yupo fit sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.