Beki wa Everton, Michael Keane ametia saini mkataba mpya wa miaka mitano ambao kwa sasa utambakiza katika viwanja vya Goodison Park hadi Juni 2025.
Keane, 27, alijumuishwa na kocha Gareth Southgate katika timu ya taifa ya Uingereza mnamo Agosti 25, 2020 ambayo kwa sasa inajiandaa kupambana na Iceland na Denmark mwezi ujao kwenye michuano ya Uefa Nations League.

Hadi kufikia sasa, Keane amewajibishwa na Everton mara 94 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) tangu ajiunge na kikosi hicho kutoka Burnley mnamo 2017.
Kwa kurefusha muda wa kuhudumu kwake kambini mwa Everton, Keane amezima tetesi zilizokuwa zikimhusisha na uwezekano wa kujiunga na Manchester United, Bayern Munich, Borussia Dortmund, Atletico Madrid na AS Roma.
“Natazamia kujivunia misimu ya kuridhisha zaidi kambini mwa Everton. Miaka mitatu iliyopita ugani Goodison Park imekuwa ya mafanikio tele. Nalenga kujibidiisha zaidi msimu ujao na kuridhisha mashabiki na waajiri wangu,” akasema mchezaji huyo.

Everton wanajivunia mabadiliko makubwa chini ya kocha Carlo Ancelotti aliyepokezwa mikoba ya kikosi hicho mnamo Disemba 2019. Katika msimu wake wa kwanza uwanjani Goodison Park, Ancelotti aliongoza Everton kutinga nafasi ya 12 kwenye msimamo wa jedwali la EPL mnamo 2019-20.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
habari njema kwa everton wamepata kiungo mzuri
Furahav
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri Sana kwa Everton kumuongezea dogo huyo mkataba yupo vizuri
Hidaya
Pongezi kwake miaka 5 juu
kabogoro
Nibeki mzuri sana na niwamda mrefu pale goodson park
Sadick
Keane amekuwa na mafanikio tangu Kocha Carlo alivyochukuliwa na Everton. Ni imani yangu Everton itafanya vzr msimu unaokuja#meridianbettz
Issa
Kean ni beki anaekiwasha pale everton na ameitendea haki timu hiyo hivyo ni safi pia
Sauda
Kila la kheri kwake
Shani
Ni habari nzuri kwa wana Everton.
Mwanahamisi
Pongezi kwake
aisha
Big up mzee baba kwa kuongeza mkataba
Amiri Kayera
Safi Everton Kwa kumbakisha huyu
rama
vizuri keane kandalasi mpya
Samiah
Big Up
Hope mwaikuka
Yuko vzur sana anastahil hilo
Adelta
Pongezi kwake @meridianbettz
Saupha mohamed
Safi
Mwajumah
Ni habari njema sana kwa everton jamaa yupo vizuri sana anastahili ilo#Meridianbettz
felister
hongera Kean
Ernest
Hapa wazee wa Fantasy tumefurahi sana jembe hili linatoa sana points
Sabrina
Hongera sana
Theonestina
Hongera
Khadija
Hongera sana
Tatu
Keane amekuwa mchezaji mwenye kuvutia pale averton
Rehema
Big up meridianbet
Fatina mfigi
Hongeren
jullie
safi sana
lombo
gud news
Rehema Dickson
Hongera sana kwake
Rose kapinga
Kazi na mri
Janeflora malisa
Good
farida ahmadi
Kane kila la kheri
Samira
Hongera sana kaene upo vizuri bado
Povel
Keane amekuwa na kiwango Bora toka ajiunge na everton ni habar njema kwa Mashabik wa everton kwa kuongezah kandarasi mpya
Shafii
Keane ataendelea kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Everton.
Edgar
Heri
Theckla
Safi
Ester jackson
Good
Dorophina
Kila lakheri kwake
Caroline
Hongera Keane kwa kuongeza mkataba
Zeiyana
Kane amekua mchezaji mzuri sana kwa kiwango alichokua nacho imefanya kila clabu zimekua zikimtolea macho
David Pere
Hapa wazee wa Fantasy tumefurahi sana jembe hili linatoa sana points
Salma ngende
Safi sana
Neema
Hongeraa kwake
Faraja molell
Everton wamepata kiungo Bora sana
Nasra
Hili ni Jambo zuri kwa Wana Everton.
Shani
Kean umeonyesha moyo safi kwa Everton
Latifa juma mohamed
Safi
Genia Sikaluzwe
Safii sana
Gabriel
Kean ni beki anaekiwasha pale everton na ameitendea haki timu hiyo
warda
Everton wako poa