Timu ya soka ya wanawake ya Uingereza watasafiri kuelekea Ujerumani kwa ajili ya mechi dhidi ya mabingwa hawa wa mara mbili dunia mwezi Oktoba.
Mechi ya kirafiki inatarajiwa kufanyika tarehe 27, mwezi Oktoba kwenye viwanja vya Brita-Arena ndani ya Wiesbaden.
Timu ya Wanawake ya Uingereza kwa mara ya mwisho ilicheza mechi yake kwenye Kombe la SheBelieves mwezi March.
Novemba iliyopita, Wanawake wa Ujerumani waliwatandika Uingereza kwa bao 2-1 kwenye rekodi ya watazamaji 77,768 pale dimbani Wembley.
Hata hivyo, mechi ya Oktoba itachezwa bila mashabiki kulingana na masharti ya kujikinga na Covid19.
Kocha wa Uingereza Phil Neville:
“Najua wachezaji wana nhaa sana ya kuivaa jezi ya timu ya taifa tena na hili ni jaribio zuri kujua tuko wapi mapema kwenye msimu mpya dhidi ya wapinzani wenye nguvu.”
“Ujerumani ni kibarua kizito sana, lakini tunajua nini tunachoweza kufanya. Nina uhakika wachezaji wanafurajia kujifua na moja ya timu bora zaidi duniani.”
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana patakuwa apatoshi huo mtanange watarii wanawake wata kiwasha
magdalena
wanawake nao hawataki kubaki nyuma ni mwendo wa kujitutumua tu
aisha
Duuh wanawake hawapoi wala hawaboi patachimbika siku iyo noma watu eeeeeeeeeeee sema tena eeeeeeeeeeeee noma kweli
Furahav
Ngoja tuone nani atashinda.
Issa
Ni mechi ambayo watu wengi wanaisubiria kwa hamu na ujeruman inapewa nafasi ya ushindi katika mechi hiyo
Amiri Kayera
Ni mechi ya ushindan San itakua
Hope mwaikuka
Mechi itakua poa ila sasa bila mashabk inakua aina amsha amsha
Mwajumah
Itakua mechi ngumu sana hii na ya ushindani sana#Meridianbettz
Sadick
Soka la wanawake linakua kwa kasi ya Bombandia,naona miaka michache ijayo litafikia soka la wanaume kwa kupendwa#meridianbettz
felister
dk 90 zitaamua nan mshindi
Ernest
Itakuwa mechi kali sana
Hidaya
Wanawake tunaweza
Khadija
ngoja tuone nani atashinda
Antony Luseno
Ujerumani wana asilimia kubwa kushinda
Theonestina
Habari njema
Rehema
Ngoja tuone mshind nani
jullie
ujerumani yuko vizur zaidi
lombo
saf
Rehema Dickson
Bonge moja la mechi
Rose kapinga
Wanawake tunawezaaaa!!
Janeflora malisa
Nice
Samira
Yaani sasa hvi wanawake hawataki kubaki nyuma kwa kila kitu soka lao linakua kwa kasi sana
Shafii
Hii inapendeza kuona soka La akina Dada linakua kila Leo.
Sabrina
Itakua bonge la mechi ila ndio mashabiki wataliona kwenye kideo
Edgar
Mpambano mkali sana
Theckla
Wanawake wanajitahidi sana
Saupha mohamed
Wanawake nao wapo vizuri
Ester jackson
Mechi za wanawange sasa zinashika kasi sana hata ukiangalia nchini Tanzania chukuwa timu ya wanawake ukaichezeshe na timu kubwa ya simba ambayo imeshikilia makombe hasaivi watafungwa tu wanawake ooooyeeee.
Dorophina
Mechi itakuwa nzuri sana wanawake hawataki kubaki nyuma kabisa
Caroline
Tunasubiri kwa hamu
Zeiyana
Soka la wanawake limepanda sana tumeshuudia clabu yingi zikichukua mataji
David Pere
Ujerumani wana asilimia kubwa kushinda
Salma ngende
Nasubili mshindi
Povel
Big match
Neema
Wanawakee ni jeshii kubwaa hawatakii kubaki nyumaa
Faraja molell
Ila mech za wanawake Hua nazielewa zaid
Shani
Game poa
Genia Sikaluzwe
Game Safi
Gabriel
mechi ambayo watu wengi wanaisubiria kwa hamu na ujeruman inapewa nafasi ya ushindi katika mechi hiyo
Tahiya
Lolote lawexa kutokea hapo mpira dakika 90
warda
Soka la wanawake huwa zuri sana