Angel Di Maria ndiye mchezaji wa kwanza wa PSG kufunga na Kutoa Assists katika mchezo wa hatua ya mtoano kwenye Champions League tangu Zlatan Ibrahimovic mnamo mwaka 2016.
Wachezaji wenye Assists nyingi zaidi katika Michuano ya CL tangu msimu wa 2003-04.

⬡ Cristiano Ronaldo (38)
⬡ Lionel Messi (33)
⬡ Ryan Giggs (27)
⬢ Ángel Di Maria (27)
⬡ Andrés Iniesta (26)
⬡ Dani Alves (25)
⬢ Neymar (24)
⬡ Xavi (24)
⬡ Karim Benzema (24)
Di Maria hajafungwa katika mechi zote 17 za CL ambazo kafunga walau bao moja (W15 D2 jumla ya mabao 21) ni Mohamed Salah (18), Gonzalo Higuaín (21) na Patrick Kluivert (25) waliofunga mabao mengi kwenye michezo mingi zaidi bila kupoteza mechi katika historia ya mashindano.

Di Maria amehusika katika magoli nane ya Champions League msimu huu (magoli 3, Assists 5), Rekodi yake bora kwa msimu mmoja, kiwango sawa na msimu wa 2013-14 wakati aliposhinda Mashindano hayo akiwa na Real Madrid.
Di Maria Akiwa na PSG:
⚽ Magoli 81
🎯 Asissts 91 assists
🤝🏻 Kahusika katika Magol 172 kwenye michezo 220.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Mwajumah
Asante kwa makala nzuri #Meridianbettz
rama
Maoni:hongera di maria mchezaji mzuri sana
Ester jackson
Big up di maria
Dorophina
Di Maria anakuja kwa speed sio ya kitoto anaweza akampita mpaka cr7
Zeiyana
Di maria bado yupo vizuri sana
Nasra
Safi sana di Maria
Mwanahamisi
Big up di maria
Magdalena
di maria yupo vizuri sana namkubali
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Di Maria yupo vizuri
Adelta
Safi sana Di Maria
@meridianbettz
Ernest
Angel Di Maria yupo kama hayupo kwenye ramani ya soka duniani
marry
yuko vzr
Sylvester
Angel Di Maria ni nyota ambae alikosa kung’ara akiwa Manchester lakini anafanya mambo mazuri huko Ufaransa na naona anaweza kutwaa taji la UCL mwaka huu ingawa wanakutana na timu ngumu Bayern
Khadija
Bg up di maria
Shan
Nice of him!
Furahav
Bado yuko vizuri.
Tahiya
Never give up, di maria
Samiah
Yupo vzr sanaa
Venerose
Safi sana
aisha
Hongera Di maria
Saupha mohamed
Yupo vizuri
Salma ngende
Big up kwake
Gabriel
Angel Di maria yuko vizur sana hapa Kama akiongeza juhud anauwezo wa kufika malengo
Johnmary joel
Hongera di maria kwajituma#meridianbett
Sabrina
Duuh Di maria yuko vizuri
Amiri Kayera
Mchezaj mzur
Povel
Congrat Angel di MARIA
Sadick
Di Maria wa sasa sio yule wa Man U na Real Madrid#meridianbettz
Devotha
Di Maria ni mchezaji mzuri sana
farida ahmadi
Pongezi Sana de Maria
Janeflora malisa
Good
Theonestina
Di Maria jeshi
Latifa juma mohamed
Hongera di maria, Hili jeshi.
David Pere
Angel Di Maria ni nyota ambae alikosa kung’ara akiwa Manchester lakini anafanya mambo mazuri huko Ufaransa na naona anaweza kutwaa taji la UCL mwaka huu ingawa wanakutana na timu ngumu Bayern
warda
Bado sana kuwafikia
felister
Di Maria speed anayokuja nayo sio poa
Tatu
Di maria analekodi nzuri katka msimu mmoja
Hope mwaikuka
Gud to him
Shafii
Inapendeza.