Australian Open 2022 : Chanjo ya Covid-19 Yaleta Mtafaruku.

 

Kuelekea mashindano yajayo ya Australian Open 2022 kumekuwa na mtafaruku kuhusu wachezaji ambao hawajapata Chanjo ya Covid 19 watakaoshiriki katika mashindano hayo.

 

Scott Morrison – Waziri Mkuu wa Australia.

Waziri mkuu wa Australia, Scott Morrison alisema wachezaji ambao hawajachanjwa watakao shiriki katika mashindano ya Australian Open 2022 watatakiwa kukaa karantini kwa wiki mbili (siku 14).

Morrison amesema wachezaji watakaa karantini wakati uongozi wa jimbo la Victoria utawasaidia wachezaji hao kupata vibali kwaajili ya kushiriki mashindano hayo ya Australian Open 2022.

Lakini katika hali ya kustaajabisha, Kiongozi wa jimbo la Victoria, Daniel Andrews amekanusha taarifa hizo na kusema jimbo lake halitamsaidia mchezaji yeyote kupata vibali.

“Kwaniaba ya watu wa jimbo la Victoria waliochanjwa na kufanya jambo sahihi, serikali yangu haita msaidia mchezaji yeyote ambaye hajapata chanjo kupata kibali.” alisema Andrew.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe