NBA: Warriors Wakatishwa Safari ya Ushindi.

Golden State Warriors na Utah Jazz zilikua ndio timu pekee ambazo hazijapoteza michezo yao kwenye NBA toka msimu huu umeanza.

Warriors wameuanza msimu huu vizuri ikilinganishwa na msimu uliopita ambapo hawakuwa kwenye ubora wao. Stephen Curry ameendelea kuwa muhimili imara wa Warriors kwa muda mrefu sasa.

Safari ya ushindi kwenye michezo 4 ya NBA, imesitishwa na Memphis Grizzlies. Licha ya Warriors kuongoza kwa pointi 19 mwanzoni mwa kipindi cha pili, Ja Morant aliibuka na kuwa shujaa wa Grizzlies.

Matokeo ya pointi 104-101 yamewaonjesha Warriors ladha ya kupoteza mchezo kwa mara ya kwanza msimu huu. Morant alimaliza mchezo kwa kupachika pointi 30 huku Curry akiisaidia Warriors kupata pointi 34.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.