Bocco Atwaa Tuzo ya IDFA.

Nahodha wa Simba SC, John Bocco ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2020 wa Mashabiki zilizotolewa na Chama cha Soka Wilaya ya Ilala (IDFA).

Bocco amewashinda mlinda mlango Aishi Manula na mlinzi wa kushoto Mohamed Hussein Zimbwe Jr katika hafla ya tuzo hizo zilizofanyika Ukumbi wa Hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam.

Msimu wa mwaka 2020/21 ulikuwa bora kwa Nahodha Bocco kutokana na kushinda tuzo nyingi binafsi kama mfungaji bora wa ligi na mchezaji bora wa mwaka (MVP).

Katika hafla hiyo pia Klabu ya Simba SC imeshinda tuzo ya klabu bora ya mwaka kutokana na mafanikio makubwa waliyoyapata.

Msimu wa 2020/21 Simba SC ilicnyakua mataji yote ya ndani Ligi Kuu, Azam Federation Cup, Ngao ya Jamii na kufika robo fainali ya michuno ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.