Mchezaji kiraka wa Barcelona, Sergio Busquets, 32 ameingia kwenye rekodi mpya katika klabu yake baada ya kucheza michezo 594.
Busquets amempiku Carles Puyol katika nafasi ya nne kwa wachezaji walioichezea Barcelona michezo mingi zaidi katika historia ya klabu hiyo katika mchezo dhidi ya Real Sociedad walioshinda 2-1.
Michezo 594 ya Busquets ameicheza katika mashindano 6 makubwa. Ikiwa michezo 390 ya La Liga, 117 Ligi ya Mabingwa, 64 Copa del Rey, 15 Spanish Super Cup, 5 Club World Cup na 3 European Super Cup.
Mchezaji huyo alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na miaka 20 mwaka 2008/09 chini ya meneja Pep Guardiola dhidi ya Racing September 13 na The Blaugrana walifanikiwa kuchukua vikombe 3 (treble) katika msimu huo.
Wanaoongoza katika msimamo huo ni 1. Xavi Hernandez (767), 2. Leo Messi(747) 3. Andreas Iniesta (674) 4. Sergio Busquets (594) na 5. Carles Puyol (593).
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!
Hopemwaikuka
Gud to hear this
Adelta
Yuko vizuri pongezi kwake
Rahma
Safi
Dorophina
Barcelona wanawachezaji wazuri sana
Issa
Saf kwake
felister
safi
Janeflora malisa
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii sana
lombo
well
Saupha mohamed
Safi sana
warda
Hongera yake
Tatu
Safi
samiah
Gud