Chelsea wamerejea katika fomu yao ya ushindi baada ya kufanikiwa kuwanyoosha Southampton kwa magoli 6-0 katika uwanja wa St. Marry’s.

 

chelsea, Chelsea Waiadhibu Southampton St. Merry’s., Meridianbet

 

Magoli manne katika kipindi cha kwanza yaliyoweka nyavuni na Marcos Alonso, Mason Mount Timo Werner na Kai Havertz yalitosha kuwapa uongozi vijana wa Tuchel katika dakika 45 za kwanza.

Kipindi cha Chelsea walirejea kwa nguvu na Timo Werner alirejea tena kambani mara baada ya kipa kuokoa mpira uliopigwa na Kante, kabla ya Mason Mount kukamilisha karamu ya magoli na kuhitimisha mzigo wa 6-0 kwa watakatifu.

Imekuwa ni urejeo wa nguvu kwa Chelsea ambao ni watetezi wa taji la mabingwa wa ulaya na dunia, baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo wakiwa nyumbani dhidi ya Brentford na Real Madrid.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa