Chilwell Kukosa Msimu 2021/2022 EPL.

 

Klabu ya Chelsea imeweka wazi kuhusu beki wa klabu hiyo, Ben Chilwell kufanyiwa upasuaji wa goti na hivyo atakosa msimu uliobaki wa mwaka 2021/22.

 

Baada ya kupata jeraha la goti katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Juventus, timu ya madaktari waliamua kumfanyia matibabu ya madawa yasiyo husisha upasuaji.

Lakini kutokana na kushindwa kupona timu ya madaktari ilifanya uamuzi wa pamoja wa wiki hii na kushauri Chilwell kufanyiwa upasuaji wa goti ili kutibu majeraha yake.

Chilwell alifanikiwa kucheza jumla ya michezo 12 ukijumuisha ule wa Ligi ya Mabingwa alioumia dhidi ya Juventus mnamo November 23 na kufanikiwa kufunga magoli 4.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe