Arteta Kuwakosa Manchester City Kwenye EPL.

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ataukosa mchezo dhidi ya Manchester City baada ya kupata maambukizi ya COVID-19.

Hii ni mara ya pili kwa Arteta kupata maambukizi ya virusi hivi. Mwezi Machi mwaka huu, Mikel alikumbana na kadhia hii.

Taarifa rasmi kutoka Arsenal imeripoti, Mikel amejitenga kwa kufuata maelekezo ya serikali, tunamtakia afya njema.”

Arsenal watakua dimbani wikiendi hii kuchuana na Man City ambao wanaongoza msimamo wa EPL wakiwa na pointi 47, pointi 12 zaidi ya The Gunners wanaoshika nafasi ya 4.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.