Klabu ya soka ya Simba SC wametangaza rasmi kumrejesha kiungo wa Zambia, Clatous Chama kutoka klabu ya RS Berkane ya Morocco baada ya kudumu kwa miezi sita.
Clatous Chama amerejea rasmi kama mchezaji mpya wa Simba baada ya kuondoka kwenye dirisha kubwa la Usajili mwaka jana alipojiunga na RS Berkane.
MVP huyo wa Ligi Kuu Tanzania bara, msimu wa mwaka 2019/2020 ametambulishwa jana mchana kuwa mchezaji rasmi wa Simba baada ya kufikia makubaliano ya kimkataba na timu yake.
Chama amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu na sasa atavaa jezi na 17 iliyokuwa inavaliwa na Pape Ousmane Sakho ambaye sasa atavaa jezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na Ibrahim Ajibu aliyetimukia Azam FC.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA