Guardiola: Huwa Najifunza Vitu kwa Tuchel

Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amejitokeza kwenye vyombo vya habari na kumpa sifa kocha wa Chelsea Thomas Tuchel kuwa ni moja ya walimu ambao huwa anajifunza vitu kutoka kwao.

https://meridianbetsport.co.tz/?s=Manchester+City+Pep+Guardiola

Guardiola ambaye alikuwa anaugua COVID-19 na nafasi yake kuchukuliwa na msaidizi wake Rodolfo Borrell kwenye mchezo wa FA Cup ambao City aliibuka na ushindi dhidi ya timu ya League Two leo anakwenda kukutana na timu inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa EPL.

“Tuchel ni mbunifu sana,” Guardiola aliwaambia wanahabari. “Mmoja wa wasimamizi wachache ambao ninajifunza kutoka kwao mara kwa mara ili kuikuza kazi ya umeneja bora.

“Yeye ni bora katika idara zote. Nilimfurahia tangu alipokuwa Mainz. Ninafurahia kutazama timu zake na jinsi anavyocheza na mbinu. Anafanya soka la dunia kuwa bora zaidi.

“Unapopata meneja ambaye daima anataka kuwa chanya katika jinsi wanavyocheza, ni vizuri.”

Ni kweli Guardiola anajifunza kutoka kwa Tuchel au ni mbinu ya kimchezo kuelekea pambano lao?


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe