Mchezaji kinda Sergino Dest, 19 raia wa Marekani anaye kipiga katika klabu ya Ajax anaendelea kumezewa mate na vigogo barani ulaya huku klabu ya Barcelona na Bayern Munich wakipigana vikumbo kupata saini ya mchezaji huyo.
Wakala wa Dest amefanya mazungumzo na vilabu vyote viwili na pande zote wametoa ofa nzuri ambazo mteja wake ameridhika nazo, kazi imebaki vilabu kukubaliana kuhusu ada ya uhamisho wa mchezaji huyo.

Sergino Dest ni mmoja ya wachezaji makinda wanaoangaliwa zaidi duniani akiongozwa na wachezaji wengine kama Sancho, Greenwood, Harvetz na wengineo.
Tetesi zinasema Barcelona wako kifua mbele katika mbio za kunasa beki huyo wa kulia, baada ya kumuuza Mreno Nelson Semedo aliyekuwa akicheza katika nafasi hiyo kuelekea Wolves ya Uingereza.
Barcelona ambao wana €34 million (£31m/$40m) baada ya kumuuza Semedo na inasemekana tayari wamekubaliana €25 million kumchukua Dest.

Barcelona wameamua kupanga upya kikosi chao baada ya kushuhudia wachezaji wengi wakiiaga miamba hiyo ya Uhispania, wachezaji kama Rakitic, Arturo Vidal, Luis Suares na Nelson Semedo.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


magdalena
wamuache atulie apo apo ajax wasitake kuwafanya watu wampoteze kiungo wao makini
Mwajumah
Dest Sergio kijana machachali sana lazima awatoe jasho kuipata sain yake kwan anajua sana mpira
Elika
Atulie Tu hapo
Fatina mfigi
Dest sergion mpira anaujua sana na ndomana kijasho chembamb kinawatoka kupata sain yake
Sauda
Anajitahidi kwa kweli.
Dorophina
Dest Ni mchezaji mzuri atulie tu kwenye klabu yake
Adelta
Atuliye kwenye klabu yake tu
Ernest
Dest lazima atatua Barca
Shan
Ni mchezaji Mairi ubora wake ndip salaha
Caroline
Dest ni kiungo makini sana
Angelina
Akaze buti hapo hapo
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri kijana
Nasra
Kijana yuko vzuri
Rehema
Atulie hapo hapo
Mwanahamisi
Akaze buti
Sadick
Hapo mwenye kisu kikali (fedha) ndio atakayekula nyama (sajiri)#meridianbettz
aisha
Mimi naona aende barc ili akapate changamoto nyingine
Janeflora malisa
Azidishe manjonjo
Venerose
Aongeze bidii tu hapo kwenye klabu yake
Tatu
Atulie tu hapo
Samira
Natamani kuona barcelona wakifanikiwa kumchukua Dest
Khadija
Atulie tu hapo hapo
Rehema Dickson
Dest Ni mchezaji mzuri atulie tu kwenye klabu yake
farida ahmadi
Yuko vizuri
Saupha mohamed
Dest mchezaji mzuri sana lazima awatoe jasho
Neema
Kijana katisha
Hidaya
Mambo ya fedha hayo
Fatuma kasomo
Atulie tu
Johnmary joel
Namkubali sana ukita vizuri lazima ugalamie hapo mweyepesa kubwa ndiye hatakae mpata#meridianbett
Amiri Kayera
Kiwango Bola kinajiuza
Theonestina
Duuuh
Sabrina
Aende barca tu hapo
Gabriel
ajax wasitake kuwafanya watu wampoteze kiungo wao makini
Samiah
Duuh
Zeiyana
Bayern bado wanakikosi vizuri tu kitu kikubwa kipo pale Barcelona wanakazi ya ziada hadi kuja kujenga kikosi chao kikamilike wafanye kazi kweli
Rose kapinga
Kazi nzuri
Hopemwaikuka
Nimekubalii
Issa
Timu kama hizi kubwa zinauaga kipaji cha mchezaji kwa kumsajili na anapigw bench tu sa ni bora kwa makinda kama hawa wabaki kweny vilabu vyao wamentain viwango vyao
David Pere
Namkubali sana ukita vizuri lazima ugalamie hapo mweyepesa kubwa ndiye hatakae mpata#meridianbett