Atletico Waikataa Ofa ya €85 Kutoka Man City.

Atletico Madrid wameikataa ofa yenye thamani ya paundi milioni 78 (€85m) kutoka klabu ya Manchester City kwaajili ya kumsajili Jose Gimenez rais wa klabu hiyo ya LaLiga Enrique Cerezo amethibitisha.

Gimenez mwenye umri wa miaka 25 amekuwa akihusishwa kujiunga na City na AS iliripotiwa mapema mwezi huu kwamba Atletico Madrid wameamua kuipiga chini ofa ya pesa ndefu kutoka katika klabu hiyo ya Premier League.

Cerezo alithibitisha kwamba miamba hiyo ya LaLiga ilipokea ofa kutoka kwa Manchester City , lakini wameamua kumbakisha mlinzi huyo, ambaye siku kadhaa zilizopita aliripotiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Atletico Waikataa Ofa ya €85 Kutoka kwa Man City.
Jose Gimenez

‘Tulipokea ofa,” aliiambia El Transitor.

“Lakini Gimenez mchezaji mzuri na tunavutiwa kuwa na wachezaji wazuri katika timu yetu.”

Baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye LaLiga msimu uliyopita, Atletico ambao wamekubali kusaini dili na nyota kutoka Barcelona, Luis Suarez- wataanza mbio za kuwania ubingwa wa LaLiga wataikaribisha Granada katika dimba la Wanda Metropolitano.

Wakati msimu mpya wa LaLiga unatarajia kuanza bila mashabiki halli yakuwa kuna janga la COVID-19, Cerezo anatumaini mashabikiwataanza kuruhusiwa hivi karibuni.

“Tuna tumaini kwamba uma utaanza kuruhusiwa kuingia viwanjani kabla msimu haujaisha,”alisema Cerezo.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

33 Komentara

    atletico iyo ofa msiikubali maana uyo mtu ana mchango mkubwa na timu wakimchukua watakuwa wamewapa pengo kubwa sana

    Jibu

    Atletico msimtoe uyo kijana maana mtakua na pengo kubwa sana kwenye timu bola abaki tu apoapo

    Jibu

    Asitoke hapo mbona anamchango mkubwa sana

    Jibu

    Mbona mchago wake Ni mkubwa wamuache bhan na wasikubali hiyo ofa ya man city

    Jibu

    Gimenez awezi kwenda man city

    Jibu

    Mikwara tu, hawezi kuondoka..

    Jibu

    Msikubali hiyo ofa kwa yeye anamchango mkubwa kuliko hiyo ofa yao

    Jibu

    Mancity wanapata vikwazo vingi sana kwenye usajili mwaka huu

    Jibu

    Mancity kazi wanayo mwaka huu

    Jibu

    Gimemezi yuko vuzuri wasimtoe

    Jibu

    Maneno tuu hayo

    Jibu

    Kazi ipo kwa man city

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Man City inahitaji sana beki ingawa mfumo wa Guardiola wa pass nyingi kuanzia langoni na kumiliki mpira muda mwingi pengo la mlinzi halionekani sana#meridianbettz

    Jibu

    Duuh man city sijui wanafeli wapi kwenye usajili

    Jibu

    Asnt Kwa taarif

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Man city wanazingua

    Jibu

    Hawezi kuondoka kwenda man city

    Jibu

    Asitoke hapo mbona anamchango mkubwa sana

    Jibu

    Abaki mchango wake mkubwa

    Jibu

    Kwaninii sasa aondoke. Kutakuwa na pengo kubwa

    Jibu

    Aendele anapotaka

    Jibu

    Wamemzuia ili kuwasaidia

    Jibu

    Gimenez aendelee kikipiga hapo hapo Atletico

    Jibu

    Gimemezi Wamemzuia ili kuwasaidia

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Atletico haiwezi kumuuza gimenez amekua na masaada mkubwa sana pale clabuni

    Jibu

    Hatarii sana

    Jibu

    Msikubal kabsa jembe hilo

    Jibu

    City waongez dau simeon huwa ana kawaida ya kumnga’ngania mchezaji

    Jibu

    Atletico iyo ofa msiikubali maana uyo mtu ana mchango mkubwa na timu wakimchukua watakuwa wamewapa pengo kubwa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.