Mcheza Tenisi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic amefanikiwa kutinga nusu fainali ya mashindano ya Madrid Open baada ya kumfunga Hubert Hurkacz kwa seti 6-3 6-4.

Robo fainali nyingine imeshuhudia Rafael Nadal akiondolewa na kinda Carlos Alcaraz kwa seti 6-2 1-6 6-3 kwa mara ya kwanza katika historia yake.

djokovic, Djokovic Atinga Nusu Fainali ya Madrid Open., Meridianbet

Nadal ameshindwa kutetea taji la Madrid Open kwa mara ya sita mbele ya kinda Carlos Alcaraz baada ya kufanya hivyo mwaka 2005, 2010, 2013, 2014 na 2017.

Djokovic alitakiwa kukutana na Andry Murray katika robo fainali ya Madrid Open kabla ya mchezaji huyo kuugua na kukutana na Hubert Hurkacz na kushinda kwa mara ya 4 dhidi yake.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa