Dani Ceballos na David Alaba Kuikosa Dabi: Real Madrid wanaingia kwenye mchezo wa Dabi ya Madrid, na wanaonekana kuwa wameongeza majeruhi.

Dani Ceballos alichukuliwa kama alikuwa anapoteza ubora kwa muda fulani msimu huu, lakini katika wiki za hivi karibuni ameweza kurejea mioyoni mwa wapenzi wa Madrid. Akifanya vyema kwenye Ligi ya Mabingwa na mechi kadhaa kwenye ligi. Hata hivyo atakosekana kwenye mchezo wa Jumapili usiku dhidi ya Atletico Madrid.

Jumamosi asubuhi Real Madrid ilitoa taarifa kwenye wakati wa mazoezi, ikibainisha kuwa Ceballos alikuwa amefanya mazoezi ya ndani. Walipotoa orodha ya kikosi chao cha mechi muda mfupi baadaye, Ceballos hakuwamo.

Sport walibainisha kuwa staa huyu ana shida ya misuli iliyopatikana kwenye mazoezi.

Ceballos atakuwa mmoja kati ya sita ambao hawatakuwepo kwenye kikosi cha Carlo Ancelotti. David Alaba bado hajapona kabisa matatizo yake ya misuli, huku Isco, Luka Jovic, Marcelo na Gareth Bale pia wakikosa mchezo wa derby.

Dani Ceballos na David Alaba Kuikosa Dabi!
Dani Ceballos na David Alaba

TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa