Wakati Sancho akitangazwa rasmi pale Old Trafford, huku Dortmund wako mbioni kukamilisha usajili wa Donyell Malen kutoka klabu ya PSV kutoka pale Uholanzi.

huyo raia wa Uholanzi yupo chini ya wakala mjanja Mino Raiola ambaye yupo njiani kukamilisha dili hilo ambalo linalenga kuziba pengo la Sancho pale Borussia Dortmund.

Donyell Malen ni miongoni mwa nyota wakali sana hasa kwenye kushambulia lango, katika msimu uliopita tu, Donyell Malen alifanikiwa kucheza mechi 32 za ligi ya Uholanzi, alifunga goli 19 na kutoa asisti 10.

Donyell malen+ bORUSSIA Dprtmund

Mchezaji huyo huyo alifanikiwa kufunga magoli saba katika michuano ya Europa League akiwa na PSV, kabla ya baadae kuchezea Uholanzi katika michuano ya Euro 2020 na kucheza mechi nne huku akitoa pasi mbili za magoli.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa